🤣🤣🤣🤣🤣Nawahakikishia
Sawa ikawaje sasaHili hata Yanga wanalijua bayana.
Mbumbumbu toleo la kwanzaHili hata Yanga wanalijua bayana.
Mwenye akili ni wewe Empty FCWewe una akili kuliko walioanzisha pigo la penati?
Unaonekana hata kimaisha unakwama sana sababu ya kutegemea miujiza. Nyie ndio wale wa " Pokea nyumba hiyo , pasha pasha pashaaa pokea gari hilo"Pamoja na kwamba nilishalisema hili kitambo sana kuwa Simba inaenda kuwa bingwa wa CAF msimu huu, siku hizi chache nilikaa kimya kuhusu hili ili kwanza nijihakikishie baadhi ya mambo.
Nimerudi tena nikiwa nina uhakika wa 100% kuwa Simba inaenda kuwa bingwa wa CAF Shirikisho msimu wa 2024-25.
Tuanze kujiandaa kwa sherehe za ubingwa.
Hata ukibadili jina tunakujua tu, haujambo mwanathimba.....Pamoja na kwamba nilishalisema hili kitambo sana kuwa Simba inaenda kuwa bingwa wa CAF msimu huu, siku hizi chache nilikaa kimya kuhusu hili ili kwanza nijihakikishie baadhi ya mambo.
Nimerudi tena nikiwa nina uhakika wa 100% kuwa Simba inaenda kuwa bingwa wa CAF Shirikisho msimu wa 2024-25.
Tuanze kujiandaa kwa sherehe za ubingwa.
🤣🤣🤣🤣Hata ukibadili jina tunakujua tu, haujambo mwanathimba.....