Wewe bwege kweli hata matokeo ya Timu yako hujui..mishabiki ya utopolo sijui vichwani mmejaza mabogaMpaka Sasa mmeshatutia aibu tayari Yanga katika hii fainali haijafungwa mechi ya kwanza ilikuwa 2:2 na mechi ya pili 1:1
Nyinyi mikia mmeshapigwa 2:0 na kesho mnapigwa tena