Nawahakikishia tena, Simba anaenda kuwa bingwa wa CAF 2024-25

Dah mkuu Mimi Wala Sina presha ,,presha yangu ilikua kupita robo fainali....basi ..hio medali inatosha mshindi wa pili...ntaangalia mpira bila stress...nikiwa na bia pembeni
 
Ki ukweli myama hamwezi mwarabu, tuendelee kujifariji kwa maneno kwani ndio tulichojaaliwa. Kushindwa kufika kwenye goli la waarabu hata mara mora mechi iliyopita ni indication tosha kwamba hatuna huo uwezo!
toa uchawi wako
 
Timu imeshindwa hata kufanya harakati kwenye box la Berkane. Kuwa shabiki wa Simba ni kipaji
 
Tunatunza risiti.
 
Wewe una akili kuliko walioanzisha pigo la penati?
Yaani hapo ndio utajua kweli Yanga inaa mashabiki mbumbumbu zero IQ.
Maana hawakubaliani Hadi na Sheria za FIFA.
Kuwaongoza yanga ni rahisi sana, inatakiwa uwe na Hela ya vibudu tu, kwa ajili ya supu ya kunywea kwenye vibakuli vya plastic.
 
Uko sahihi kwa 100% Mkuu. Ile kauli mbiu ya Lowassa "Elimu, elimu, elimu!" kumbe ingewasaidia sana hawa Watopolo wasio na akili.
 
Ili tubebe inabidi matokeo yawe:

2-0 kisha tushinde penati.
3-0
4-1<
5-2<
6-3<
7-4<

Ni option ngumu kidogo kwa aina ya wale waarabu tuliowaona juzi kwao.

Ukitaka kujua ugumu ni iwapo watapata goli itabidi tushinde 4.... wakipata la pili itabidi tushinde 5.... wakipata la tatu itabidi tushinde 6.

KILA LA HERI SIMBAAA.
 
Mpaka Sasa mmeshatutia aibu tayari Yanga katika hii fainali haijafungwa mechi ya kwanza ilikuwa 2:2 na mechi ya pili 1:1

Nyinyi mikia mmeshapigwa 2:0 na kesho mnapigwa tena
 
Mpaka Sasa mmeshatutia aibu tayari Yanga katika hii fainali haijafungwa mechi ya kwanza ilikuwa 2:2 na mechi ya pili 1:1

Nyinyi mikia mmeshapigwa 2:0 na kesho mnapigwa tena
1-2
0-1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…