Nawahakikishia tena, Simba anaenda kuwa bingwa wa CAF 2024-25

Mpaka Sasa mmeshatutia aibu tayari Yanga katika hii fainali haijafungwa mechi ya kwanza ilikuwa 2:2 na mechi ya pili 1:1

Nyinyi mikia mmeshapigwa 2:0 na kesho mnapigwa tena
Wewe bwege kweli hata matokeo ya Timu yako hujui..mishabiki ya utopolo sijui vichwani mmejaza maboga
 
Timu imeshindwa hata kufanya harakati kwenye box la Berkane. Kuwa shabiki wa Simba ni kipaji
Yani on target hata moja hawakupata, halafu wategemee kuwafunga Zanzibar tena kwa waarabu kule hahhaaaaa
 
Apia......
 
Bingwa wa kufungwa
 
Wewe kila siku kuingilia mambo ya Yanga. Leo imekula kwako
 

Mkuu hivi unajijua kama wewe sio mzima?????​


Umelitambua hilo??????​

 
Akili kama za OKW BOBAN SUNZU a.k.a muhasibu
 
🥵
 
Hili hata Yanga wanalijua bayana.

Kama taifa Simba akishinda nitafutahi ila akikandwa nitafurahi ile mbayaaaaaa

Kila la heri mnyama

Labda kombe la mo soap cup

5imba hii hii inayotegemea ushindi wa penalties na kubebwa?

Ki ukweli myama hamwezi mwarabu, tuendelee kujifariji kwa maneno kwani ndio tulichojaaliwa. Kushindwa kufika kwenye goli la waarabu hata mara mora mechi iliyopita ni indication tosha kwamba hatuna huo uwezo!

Kama kuna timu inategemea ushirikina ili washinde basi wamekwisha, narudia tena wamekwisha.

Mnyamaaa unyamanii....Linabakiiii.

Full time Simba 3- RS Berkane 1.

SimbaSC 🦁
#NguvuMoja 💪
#UbayaUbwela 🦸
#HiiTunabebaaa 🦹

Unatuhakikishia we kama nani?

Hili liko wazi.

Ubaya Ubwelaaaa🤸🤸🤸

Matokeo yakiwa hivi, Berkane bingwa

Ee Mungu tusaidie TUSISHINDE

Kama maneno tu yanabebesha kombe basi mmelibeba

Dah mkuu Mimi Wala Sina presha ,,presha yangu ilikua kupita robo fainali....basi ..hio medali inatosha mshindi wa pili...ntaangalia mpira bila stress...nikiwa na bia pembeni

toa uchawi wako

naunga mkono hoja mkuu

Timu imeshindwa hata kufanya harakati kwenye box la Berkane. Kuwa shabiki wa Simba ni kipaji

Muda huo hata ham ya mechi huna

toa uchawi mkuu andae handaki la kujificha

Tunatunza risiti.

Mimi pia naliona hili kombe likibakia mikono salama ya Mnyama
HII TUNABEBA SIMBA UBAYA UBWELA!!

Hizi ni ndoto nyevu


Ndio ,na kesho itapata penakt na kubebwa!

Hapo sasa,hakuna namna.

Uko sahihi kwa 100% Mkuu. Ile kauli mbiu ya Lowassa "Elimu, elimu, elimu!" kumbe ingewasaidia sana hawa Watopolo wasio na akili.

Na iwe hivyo Inshallah


Mpaka Sasa mmeshatutia aibu tayari Yanga katika hii fainali haijafungwa mechi ya kwanza ilikuwa 2:2 na mechi ya pili 1:1

Nyinyi mikia mmeshapigwa 2:0 na kesho mnapigwa tena




Yani on target hata moja hawakupata, halafu wategemee kuwafunga Zanzibar tena kwa waarabu kule hahhaaaaa

Apia......


Bingwa wa kufungwa

Haya njoo utuhakikishie tena

Wewe kila siku kuingilia mambo ya Yanga. Leo imekula kwako

Wanavyorudi toka Zanzibar.
View attachment 3345633

Akili kama za OKW BOBAN SUNZU a.k.a muhasibu


Nilitoa angalizo la mambo matatu ambayo yanaweza kuizuia Simba isichukue ubingwa. Nilihakikishiwa kuwa yatafanyiwa kazi ila nimekuja kukuta hata moja halikufanyiwa kazi.

SOMA UZI HUU WA TAHADHARI

Leo nimefurahi Simba kutopata ubingwa na usiniulize kwa nini.


 
Bro bado unaota..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…