Nawahakikishia tena, Simba anaenda kuwa bingwa wa CAF 2024-25

Unaonekana hata kimaisha unakwama sana sababu ya kutegemea miujiza. Nyie ndio wale wa " Pokea nyumba hiyo , pasha pasha pashaaa pokea gari hilo"
 
Hata ukibadili jina tunakujua tu, haujambo mwanathimba.....
 
Ulipatia kabisa; sasa hivi simba ana Kombe la CAF Champion, lakini la ndotoni. Kila wakilala wnaliota.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…