🤣🤣 Mkuu Mchungaji kwani anafanyaje kukusaidia wewe?? Si anaomba ? Sasa wewe unashindwa kuomba kwa Mungu.??
Boss Mungu Yupo, alafu anatenda na anajibu.... Ila sasa ukitaka kujibiwa kwa haraka unatakiwa uwe msafi wa mwili na roho yako isadiki....
Kama hujaoa Jichunge sana ,usizini thn omba all the Time within Mwaka mmoja tu... Mungu atakuwa kashakujibu na Pia utasahau ulichokuwa unaota.
Nyie Mungu Yupooo, na anatenda.