Alichoandika mleta uzi ni sahihi kabisa. Unachosema hapa ni argument ambayo inalenga kutengua hoja ya mleta mada.
Mimi nina ushahidi pia na studies zaimeshafanyika kuprove hiyo kitu. Ni kweli kuwa si kila homosexual au Gay anakuwa ni zao la moja kwa moja la childhood traumatic experiences kama za kufanyiwa molestation na sexual violence. But ni kweli kuwa most of watoto waliopitia childhood molestation especially males wapo likes by 100% kujihusisha na homosexuality especially kuwa gays kwa upande wa wanaume na lesbians kwa upande wa wanawake.
So yes, mleta mada yupo sahihi kwa asilimia 100%.
Na kwahiyo scenario ya jamaa muuza urojo napenda tu nikufahamishe kuwa pia ni contributing factor ya uwepo wa homosexuals especially Gays kwasababu mtoto wa kiume ambaye amefanyiwa molestation utotoni yupo likely kurudia the same thing kwa watoto wadogo kipindi akiwa mkubwa sababu its one of bad experience au category ya childhood traumas ambazo zina affect makuzi ya ubongo katika eneo la sexuality.
Asante.
Aya ya kwanza umesema mleta mada yupo sahihi kabisa, aya ya pili umesema ni kweli si kila homosexual ni zao la trauma.
Pedophiles as individuals ambao ni likely kufanya hizi molestation hawafanyi kwaajili ya sexual gratification tu they also do it as a display of power over their victim.
When this is done frequently inamfanya victim ajione helpless na aamini kwamba to wield such power na yeye atatakiwa kufanya same na alichofanyiwa. Kutokana na hilo it is very likely huyu mtu akawa malaya, pedophile and in a worst case scenario ndiyo tumepata watu kama Jeffrey Dahmer.
Kuna case study moja ya babu aliyekua akiwamolest wajukuu wake wawili, mmoja akawa anamuingiza uume kabisa na mwingine hamuingizi anaishia kumshika shika tu. Logically itakufanya uhisi ambaye aliingizwa ndiye aliharibiwa saikolojia kuliko aliyeishia kushikwa shikwa.
But, aliyeishia kushikwa shikwa alikuja kua malaya sana kwa kuamini kwamba 'I am not enough' ndiyo maana babu hakua akiingiza uume wake. So this lady alikua akicompensate kwa kulala na kila mtu. Am simply saying a trauma can't have same effect kwa kila individual.
Anayelawitiwa ana chansi kubwa ya kuja kua mlawiti kuliko kuendelea kua mlawitiwa.
as I pointed earlier, kwamba sex ni identity ambayo hua acquired, homo wengi hupatikana kwa kuaminishwa na kulearn. So mtoto wa kiume akiaminishwa yeye ni Ke kuend up as Ke haiwezi kua ajabu. Kama uliwahi angalia mahojiano ya Zamaradi na shoga aliyejiita kaoge jinsi gani aliingia huko utakubaliana na nilichoandika.
Shukrani.