Nawakubali sana wanaume wenye six pack

Kanjibai anatamani wanaume wenye six park 🏞️
 
Uzi una vawulensi za kushato, ngoja nikae na 🍿 nisome comments lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lamomy uduguu njoo huku kumeanza kuchangamka. Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Moja ya kitu kigumu sana ni kua consistent na mazoezi, ukiona mtu ana six pack maana yale amekua na discipline ya hali ya juu na kua consistent. Consistency beat talent, so mi huwa nawakubali sana. View attachment 3327226
8😑😑😑 nipooo tuchekiane
 
Eeehh..!! Kutoka kuwa handsome mpk kuvutiwa na wenye six packs..!! 😹😹😹
Nakuambiaje atakufa huku anatetema km mayelee, bado ahamie kwa wafuga dreds. Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…