Unaelewa maana ya kukubali au unajifanya mjuaji sana? Acha shobo utasutwa mtoto wa kiume.Mkuu wewe ni Mwanaume ? Kama ni ndio, tumia lugha ya uanaume kuelezea Hisia zako .
Kwa mfano.... "Jamaa wenye six packs Wana consistency ya hatari kwenye mazoezi".
Hii yako ya "Nawakubali sana wanaume wenye six pack" ....inatia ukakasi
Jamaniii kwanini lakini? πππππ
Diarra yupo mbali sana na goli. Ubaya Ubwela mshindwe wenyewe tu kupachika mabao siku ya Derby. Dunia hii we acha tu mjukuu πππHii picha nimecheka kwa sauti, had watu wananishangaa hapa.
Waja em pumzisheni mbavu zangu bas. Lol
ππππππππ
Gran pah nimecheka hapa, kuna watu sebuleni tunasubiri kutazama UEFA, imebidi niingie chumbani nicheke vyedii.Diarra yupo mbali sana na goli. Ubaya Ubwela mshindwe wenyewe tu kupachika mabao siku ya Derby. Dunia hii we acha tu mjukuu πππ
ππππ uduguu em njoo ona, si dharau hizi LolKm huelewi maana ya kukubali basi hata muda sina, kwa taarifa yako mi ni mwanaume lijali, na huenda hujawahi date a fine good looking man km mimi ever.
Huyu dem alishawahi kujipost ana mashavu flani hivi lipsi denda yani kiufupe mzuri na pozi aliloweka inaonekana mapenzi ya kitandani anayajua sio kama Lamomy mtukutuMkuu wewe ni Mwanaume ? Kama ni ndio, tumia lugha ya uanaume kuelezea Hisia zako .
Kwa mfano.... "Jamaa wenye six packs Wana consistency ya hatari kwenye mazoezi".
Hii yako ya "Nawakubali sana wanaume wenye six pack" ....inatia ukakasi
Baaaasiii umekwishaaa
Wewe ni mwanaume lijali au sio.Km huelewi maana ya kukubali basi hata muda sina, kwa taarifa yako mi ni mwanaume lijali, na huenda hujawahi date a fine good looking man km mimi ever.
Mtoa mada ni πMkuu wewe ni Mwanaume ? Kama ni ndio, tumia lugha ya uanaume kuelezea Hisia zako .
Kwa mfano.... "Jamaa wenye six packs Wana consistency ya hatari kwenye mazoezi".
Hii yako ya "Nawakubali sana wanaume wenye six pack" ....inatia ukakasi
Sasa mimi mwanaume anayevutiwa na wanaume wenzie wa kazi gani?? πΉπΉKm huelewi maana ya kukubali basi hata muda sina, kwa taarifa yako mi ni mwanaume lijali, na huenda hujawahi date a fine good looking man km mimi ever.
πΉπΉπΉ Uduguu nimelia sana..!!ππππ uduguu em njoo ona, si dharau hizi Lol
πππππHuyo soda imeisha gesi πΉπΉπΉ
Sasa mwanaume anavutiwa na wanaume wenzie nitamuweza wapi??
πππππ jamaniii.πΉπΉπΉ Uduguu nimelia sana..!!
Sasa mimi na wanaume km mabinti tutawezana kweli? Mi nataka ma-King Kong yeye sample za kina dimpoz wana waume zao..!!