Nawakubali sana wanaume wenye six pack

Kwisha habari.
Jah Live jah children.....
 
Sasa mimi mwanaume anayevutiwa na wanaume wenzie wa kazi gani?? 😹😹

Mimi nadate wagumu, hata mkono ukinigusa najua huyu mwanaume kanigusa, sasa wewe uwe soft na mimi niwe soft si balaa hilo..!! 🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nakuambiaje atakufa huku anatetema km mayelee, bado ahamie kwa wafuga dreds. Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Si ana sura nzuri kuliko dada yake huyo hadi wanawake wanamgombea ,kaona ngoja na yeye aanze kutamani wenye six packs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…