Nawakumbusha Simba kuwa derby haitakuwa na red card na penalties za kubebwa

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Hiyo mipango ya hujuma Kwa Yanga haitafanikiwa

Yanga ni kubwa mtafungwa tu

Huyu mwamzi ndo alimaliza mechi ya Simba vs Coast union,

Coast union walikuwa kwenye move ya kufunga goli la ushindi lakini isivyo kawaida mwamzi alimaliza hiyo mechi

Na Leo ndo kapewa hii mechi akachezesha uharo huu

Oneeni vidagaa lakini hakika march 8 ndo itamaliza yote

Yaani mnahonga waamzi wanatoa red card ili mcheze na timu pungufu

Mkapata penalties 3
 
Hayooooo hayooooo yameumiaaa hayoooo
Screenshot_20250219-213148_Instagram.jpg
 
Hiyo mipango ya hujuma Kwa Yanga haitafanikiwa

Yanga ni kubwa mtafungwa tu

Huyu mwamzi ndo alimaliza mechi ya Simba vs Coast union,

Coast union walikuwa kwenye move ya kufunga goli la ushindi lakini isivyo kawaida mwamzi alimaliza hiyo mechi

Na Leo ndo kapewa hii mechi akachezesha uharo huu

Oneeni vidagaa lakini hakika march 8 ndo itamaliza yote

Yaani mnahonga waamzi wanatoa red card ili mcheze na timu pungufu

Mkapata penalties 3
Wewe kenge unaumia tumbukia mtoni ujipoze
 
Ambaye anasema penalty hazina mashiko alete hapa ushahidii...mbavuuuuu
Tena na waziri wa michezo alikuwepo...waziri shabiki wa utopwolo kindaki...
Ligi haina wenyewe
Refa aliyewabeba mechi ya coast union,
Leo tena kapewa mechi awabebe tena
 
Penati zote zilikuwa halali,kadi nyekundu sijui nini kilitokea!Huenda refa aliona kitu kikitendwa dhidi ya Ateba!
Penalties dhidhi ya timu pungufu?
Red card ya dhuruma
 
Ligi haina wenyewe
Refa aliyewabeba mechi ya coast union,
Leo tena kapewa mechi awabebe tena
Wacha tubwebwe kama macho yako yanaona hivyo..hasa tukiwa na hawa wapuuzi wenye nembo ya GSM..Tanzania imeshaona jinsi mnavyopanga matokeo...so acha iwanyeshee mvua ya mawe...
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Hiyo mipango ya hujuma Kwa Yanga haitafanikiwa

Yanga ni kubwa mtafungwa tu

Huyu mwamzi ndo alimaliza mechi ya Simba vs Coast union,

Coast union walikuwa kwenye move ya kufunga goli la ushindi lakini isivyo kawaida mwamzi alimaliza hiyo mechi

Na Leo ndo kapewa hii mechi akachezesha uharo huu

Oneeni vidagaa lakini hakika march 8 ndo itamaliza yote

Yaani mnahonga waamzi wanatoa red card ili mcheze na timu pungufu

Mkapata penalties 3
IMG_5354.jpeg
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Wacha tubwebwe kama macho yako yanaona hivyo..hasa tukiwa na hawa wapuuzi wenye nembo ya GSM..Tanzania imeshaona jinsi mnavyopanga matokeo...so acha iwanyeshee mvua ya mawe...
Ngoja tufanyiane michezo michafu
Tumegundua hamtaki mpira ucheze kiwanjani
Ngoja tufanye yetu
 
Back
Top Bottom