SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Yaani Coastal inaenda kufunga goli la ushindi wakati ni tawi la Simba na inatakiwa kuiachia Simba ipate ushindi rahisi?Hiyo mipango ya hujuma Kwa Yanga haitafanikiwa
Yanga ni kubwa mtafungwa tu
Huyu mwamzi ndo alimaliza mechi ya Simba vs Coast union,
Coast union walikuwa kwenye move ya kufunga goli la ushindi lakini isivyo kawaida mwamzi alimaliza hiyo mechi
Na Leo ndo kapewa hii mechi akachezesha uharo huu
Oneeni vidagaa lakini hakika march 8 ndo itamaliza yote
Yaani mnahonga waamzi wanatoa red card ili mcheze na timu pungufu
Mkapata penalties 3