Nawakumbusha Simba kuwa derby haitakuwa na red card na penalties za kubebwa

Nawakumbusha Simba kuwa derby haitakuwa na red card na penalties za kubebwa

Hiyo mipango ya hujuma Kwa Yanga haitafanikiwa

Yanga ni kubwa mtafungwa tu

Huyu mwamzi ndo alimaliza mechi ya Simba vs Coast union,

Coast union walikuwa kwenye move ya kufunga goli la ushindi lakini isivyo kawaida mwamzi alimaliza hiyo mechi

Na Leo ndo kapewa hii mechi akachezesha uharo huu

Oneeni vidagaa lakini hakika march 8 ndo itamaliza yote

Yaani mnahonga waamzi wanatoa red card ili mcheze na timu pungufu

Mkapata penalties 3
Tutazaa naooo mapacha kuanzia atakae toa penalty na atakaekuwa uwanjan mkuu
 
Yanga na Simba kiukweli kabisa wao ndo wataalamu wa hizi kazi
Hiyo mipango ya hujuma Kwa Yanga haitafanikiwa

Yanga ni kubwa mtafungwa tu

Huyu mwamzi ndo alimaliza mechi ya Simba vs Coast union,

Coast union walikuwa kwenye move ya kufunga goli la ushindi lakini isivyo kawaida mwamzi alimaliza hiyo mechi

Na Leo ndo kapewa hii mechi akachezesha uharo huu

Oneeni vidagaa lakini hakika march 8 ndo itamaliza yote

Yaani mnahonga waamzi wanatoa red card ili mcheze na timu pungufu

Mkapata penalties 3
 
Nimeona niwakumbushe tu sio WOTE Wana uvumilivu wengine Wana.....
Huyu n Israel MKONGO na Stephanie mwasika

Kosa kosa wakavumilia mwisho yakamshinda
 
Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    11.6 KB · Views: 1
  • images.jpeg
    images.jpeg
    12.8 KB · Views: 1
  • kimeo.jpg
    kimeo.jpg
    25.6 KB · Views: 1
  • hqdefault.jpg
    hqdefault.jpg
    17.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-153922.jpg
    Screenshot_20250220-153922.jpg
    363.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-153918.jpg
    Screenshot_20250220-153918.jpg
    383.5 KB · Views: 1
Watu wamechokaaa ushenzi WA refkadi kila mechi

Penalty 2 kila MECHII

Huu ushwetani utaisha tar 8
 
Attachments

  • Screenshot_20250220-153638.jpg
    Screenshot_20250220-153638.jpg
    297.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-153639.jpg
    Screenshot_20250220-153639.jpg
    293.4 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-153641.jpg
    Screenshot_20250220-153641.jpg
    315.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-153636.jpg
    Screenshot_20250220-153636.jpg
    272.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-153633.jpg
    Screenshot_20250220-153633.jpg
    327.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-153635.jpg
    Screenshot_20250220-153635.jpg
    291.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-153645.jpg
    Screenshot_20250220-153645.jpg
    310.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-153642.jpg
    Screenshot_20250220-153642.jpg
    298.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-153650.jpg
    Screenshot_20250220-153650.jpg
    318.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-153647.jpg
    Screenshot_20250220-153647.jpg
    315.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-153656.jpg
    Screenshot_20250220-153656.jpg
    330.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-153717.jpg
    Screenshot_20250220-153717.jpg
    308.3 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-153702.jpg
    Screenshot_20250220-153702.jpg
    351.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-153720.jpg
    Screenshot_20250220-153720.jpg
    298.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-153750.jpg
    Screenshot_20250220-153750.jpg
    286.1 KB · Views: 1
Penati zote zilikuwa halali,kadi nyekundu sijui nini kilitokea!Huenda refa aliona kitu kikitendwa dhidi ya Ateba!
Derick Mukombozi alimchapa Ateba kofi la fasta fasta akadhani refa hajaona
 
Attachments

  • Azam tv mnaweza kutuonyesha zaidi hili tukio kwa ukaribu na taratibu_ angalia mkono wa Mkomboz...mp4
    1.6 MB
Waliokuwa wakibisha sasa sijui wataweka wapi sura zao.Ushahidi huo hapo juu.
 
Hiyo mipango ya hujuma Kwa Yanga haitafanikiwa

Yanga ni kubwa mtafungwa tu

Huyu mwamzi ndo alimaliza mechi ya Simba vs Coast union,

Coast union walikuwa kwenye move ya kufunga goli la ushindi lakini isivyo kawaida mwamzi alimaliza hiyo mechi

Na Leo ndo kapewa hii mechi akachezesha uharo huu

Oneeni vidagaa lakini hakika march 8 ndo itamaliza yote

Yaani mnahonga waamzi wanatoa red card ili mcheze na timu pungufu

Mkapata penalties 3
Kwani refa atakuwa tena Ramadhani Kayoko?
Maana huyu anashida ya macho (uono Hafifu)........
 
Hiyo mipango ya hujuma Kwa Yanga haitafanikiwa

Yanga ni kubwa mtafungwa tu

Huyu mwamzi ndo alimaliza mechi ya Simba vs Coast union,

Coast union walikuwa kwenye move ya kufunga goli la ushindi lakini isivyo kawaida mwamzi alimaliza hiyo mechi

Na Leo ndo kapewa hii mechi akachezesha uharo huu

Oneeni vidagaa lakini hakika march 8 ndo itamaliza yote

Yaani mnahonga waamzi wanatoa red card ili mcheze na timu pungufu

Mkapata penalties 3
Hiki ndicho siku zote sitaki kuongea masuala ya mpira na shabiki wa yanga wengi wao hawajui mpira...
Hv unajua kanuni za kumaliza mpira au unaonhea kujifurahisha?

Ok Migongo wazi mmekwama awamu hii ndiyo maana mnatumia nguvu kubwa kumdhoofisha Simba ila hamtafanikiwa
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Walijua wangejificha kwenye hiki kichaka
 
Hiyo mipango ya hujuma Kwa Yanga haitafanikiwa

Yanga ni kubwa mtafungwa tu

Huyu mwamzi ndo alimaliza mechi ya Simba vs Coast union,

Coast union walikuwa kwenye move ya kufunga goli la ushindi lakini isivyo kawaida mwamzi alimaliza hiyo mechi

Na Leo ndo kapewa hii mechi akachezesha uharo huu

Oneeni vidagaa lakini hakika march 8 ndo itamaliza yote

Yaani mnahonga waamzi wanatoa red card ili mcheze na timu pungufu

Mkapata penalties 3
sisi nyuma mwiko bila kayoko kuchezesha hiyo derby tunagoma kucheza maana safari hii wenzetu wamedhamiria kutupiga za kututosha
 
Back
Top Bottom