Wewe kenge unaumia tumbukia mtoni ujipozeHiyo mipango ya hujuma Kwa Yanga haitafanikiwa
Yanga ni kubwa mtafungwa tu
Huyu mwamzi ndo alimaliza mechi ya Simba vs Coast union,
Coast union walikuwa kwenye move ya kufunga goli la ushindi lakini isivyo kawaida mwamzi alimaliza hiyo mechi
Na Leo ndo kapewa hii mechi akachezesha uharo huu
Oneeni vidagaa lakini hakika march 8 ndo itamaliza yote
Yaani mnahonga waamzi wanatoa red card ili mcheze na timu pungufu
Mkapata penalties 3
Ligi haina wenyeweAmbaye anasema penalty hazina mashiko alete hapa ushahidii...mbavuuuuu
Tena na waziri wa michezo alikuwepo...waziri shabiki wa utopwolo kindaki...
Wacha tubwebwe kama macho yako yanaona hivyo..hasa tukiwa na hawa wapuuzi wenye nembo ya GSM..Tanzania imeshaona jinsi mnavyopanga matokeo...so acha iwanyeshee mvua ya mawe...Ligi haina wenyewe
Refa aliyewabeba mechi ya coast union,
Leo tena kapewa mechi awabebe tena
Ulikuwepo hapo karb na refa ww nyuma mwikooo???Penalties dhidhi ya timu pungufu?
Red card ya dhuruma
Hiyo mipango ya hujuma Kwa Yanga haitafanikiwa
Yanga ni kubwa mtafungwa tu
Huyu mwamzi ndo alimaliza mechi ya Simba vs Coast union,
Coast union walikuwa kwenye move ya kufunga goli la ushindi lakini isivyo kawaida mwamzi alimaliza hiyo mechi
Na Leo ndo kapewa hii mechi akachezesha uharo huu
Oneeni vidagaa lakini hakika march 8 ndo itamaliza yote
Yaani mnahonga waamzi wanatoa red card ili mcheze na timu pungufu
Mkapata penalties 3
πππAmbaye anasema penalty hazina mashiko alete hapa ushahidii...mbavuuuuu
Tena na waziri wa michezo alikuwepo...waziri shabiki wa utopwolo kindaki...
Ngoja tufanyiane michezo michafuWacha tubwebwe kama macho yako yanaona hivyo..hasa tukiwa na hawa wapuuzi wenye nembo ya GSM..Tanzania imeshaona jinsi mnavyopanga matokeo...so acha iwanyeshee mvua ya mawe...
Kwani ndo mmeanza?au mmeanza kushtuka kwamba na sisi tumeshtuka sasa mbwai mbwai....Ngoja tufanyiane michezo michafu
Tumegundua hamtaki mpira ucheze kiwanjani
Ngoja tufanye yetu
Nimekumis mtani wangu..πππ
Hapo sawaa mtani...Hakika twende ki ubaya ubwela