Nawakumbusha Simba kuwa derby haitakuwa na red card na penalties za kubebwa

Yaani Coastal inaenda kufunga goli la ushindi wakati ni tawi la Simba na inatakiwa kuiachia Simba ipate ushindi rahisi?
 
Yaani Coastal inaenda kufunga goli la ushindi wakati ni tawi la Simba na inatakiwa kuiachia Simba ipate ushindi rahisi?
Ni tawi kipindi kile simlikuwa wote shirikisho yaani mashindano ya akina
 
Well said
 
Naona wadau wa uto hapa wanapiga picha kwny carpet ya harusi ya Hamisa Yupo injinia Hersi na mzee wa dodoma jiji mavunde
 
Usiku mwema jamani watani na wana lunyasi...
Mwaka huu afe beki afe kipa
Simba Bingwaa...
 
KAKOJOE UKALALE.

HUO UKIMWI ULIONAO UTAKUTESA SANA NA HIVI MAREKANI WAMEGOMA KUTOA DAWA ZA UKIMWI(ARV).
 
Yaani Coastal inaenda kufunga goli la ushindi wakati ni tawi la Simba na inatakiwa kuiachia Simba ipate ushindi rahisi?
Mi nashindwa kushangaa kama kostali ni tawi la simba wangerudisha mpira nyuma na si kutaka kutufunga.
 
Naona wadau wa uto hapa wanapiga picha kwny carpet ya harusi ya Hamisa Yupo injinia Hersi na mzee wa dodoma jiji mavunde
Hersi ndio baba wa bwana harusi. Aiseee, nchi ngumu sana hii.
 
Ngoja tufanyiane michezo michafu
Tumegundua hamtaki mpira ucheze kiwanjani
Ngoja tufanye yetu
Mechi na timu yoyote ndogo iliyodhaminiwa na GSM, lazima tuingize gia ya Ubaya Ubwela. Mlifanya hayo mambo, tukawaangalia tu, tukaona yataota mizizi. Tarehe nane refa huyu huyu achezeshe.

Mechi ya derby iliyopita kuna penati halali kama tatu, "Kanyoko" alizikaushia.

Kama leo, umemfokea refa ukawa na kadi ya njano, next mchezaji wa timu pinzani hana mpira, unamgonga usoni makusudi, kwanini usipewe kadi?

Wame comit fouls ndani ya kumi na nane kwanini isiwe penati?
 
Kweli wewe ndo mwanachama halisi wa Rage
 
Na wakumbuke tu vyovyote vile mwamuzi atakuwa ni Ahmad Arajiga, ambaye siku zote huwa anachezesha kwa kufuata sheria 17 za mpira wa miguu! Na siyo kwa maelekezo, au bahasha ya khaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…