Nawakumbusha Simba kuwa derby haitakuwa na red card na penalties za kubebwa

Na wakumbuke tu vyovyote vile mwamuzi atakuwa ni Ahmad Arajiga, ambaye siku zote huwa anachezesha kwa kufuata sheria 17 za mpira wa miguu! Na siyo kwa maelekezo, au bahasha ya khaki.
Yaan hata Mwamuzi awe Hamisa mshika Kibendra huku awe Hersi ,kulia awe Kamwe na kamisaa Privadinyo tarehe hiyo mnakufa
 
Akili ndogo kweli ,refa anaweza kumaliza mpira muda wowote pale muda wa nyongeza ukiisha na hakuna tukio lililosababisha kuongeza muda wa ziada ,ata kama kuna Kona atamaliza bila Kona kupigwa.
 
Hifadhi hii comment,Tutapiga penalty mechi ya derby,wachezaji wetu hawazuiliki.
 
Hersi ndio baba wa bwana harusi. Aiseee, nchi ngumu sana hii.
Timu ya ukuadi nasikia pacome wamemtafutia,wanawalipa wachezaji wa kimataifa mishahara kisha wanatafuta malaya wa kuzipuna pesa ZAO.YANGA IMEKUWA CASINO AU NIGHTY CLUB.
 
Timu ya ukuadi nasikia pacome wamemtafutia,wanawalipa wachezaji wa kimataifa mishahara kisha wanatafuta malaya wa kuzipuna pesa ZAO.YANGA IMEKUWA CASINO AU NIGHTY CLUB.
Wewe ndo unataka akuoe na Pacome, Aucho au Musonda?
Wenzako wanaoa wewe unalalamika
 
Ambaye anasema penalty hazina mashiko alete hapa ushahidii...mbavuuuuu
Tena na waziri wa michezo alikuwepo...waziri shabiki wa utopwolo kindaki...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na wakumbuke tu vyovyote vile mwamuzi atakuwa ni Ahmad Arajiga, ambaye siku zote huwa anachezesha kwa kufuata sheria 17 za mpira wa miguu! Na siyo kwa maelekezo, au bahasha ya khaki.
Hilo li Arajiga si shabiki kindaki wa uto, nani hajuii?
Na safarii hii hatung'oi viti, tunalichekecha lenyewe macho kengeza.

Pumbaaaaaaavuuuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo mechi ndio kilele cha "ubaya ubwela" baada ya hapo mtatishia kuhama ligi maana watu sio wajinga wanavyowaona mnaufanyia maigizo mpira wetu, mwaka huu mtake msitake simba bingwa.
 
Nicheke tu kwakweli
 
Hivi kumbe huyu ndo alimalizaga Ile mechi ya Simba na coastal union huku mtu akiwa anaenda kushambulia hadi Leo nikiangaliaga Ile clip basi mbavu Sina hua nacheka sana [emoji1787] bahati nzuri hata refa mwenyewe hua anacheka hahahah
 
Yani hawa Manamba tr 8 tucpowaweka cc hata wenyewe watajiweka kama walivozowea.
 
Kwa utaalamu wako wa mpira wa miguu derby ilopita haikustahili penati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…