GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tunapeleka wapi saaaa😭Msije tu kusema kuwa Mzalendo Halisi GENTAMYCINE sikuwakumbusheni juu ya hili na Taarifa hii pia.
Na wamesema Siku zao Saba za Huruma na Kuzisalimisha Kwao zikiisha tu Wakikumata nazo kwa Watakachokufanya unaweza hata ukashindwa kutoa Haja Kubwa ( Kuukweka ) kwa miaka mitano na utajua Mwenyewe utaitolea wapi.
Shikamooni JWTZ akina Poti wangu.
Tunakabidhi ofisi gani?Msije tu kusema kuwa Mzalendo Halisi GENTAMYCINE sikuwakumbusheni juu ya hili na Taarifa hii pia.
Na wamesema Siku zao Saba za Huruma na Kuzisalimisha Kwao zikiisha tu Wakikumata nazo kwa Watakachokufanya unaweza hata ukashindwa kutoa Haja Kubwa ( Kuukweka ) kwa miaka mitano na utajua Mwenyewe utaitolea wapi.
Shikamooni JWTZ akina Poti wangu.
Nguo inayofanana na sare ya majeshi yeyote duniani. Kilichopo Ni kusalimisha. Ukikaidi utapigwa tu.Badala ya kufanya vitu vya msingi, mnakazania vitu vidogo vidogo ambavyo ni aibu hata kusikia ni kauli toka Jeshi la wananchi.
Si mwende mkajifunze kwa wenzenu hata Burkina Faso kwa Bwana mdogo Capt. Ibrahim Traolè?!
Kumbuka jeshi siyo wanasiasaila nchi hii bhana itatuchukua muda mrefu sana kuendelea, yaani mavazi ya jeshi yana thamani kuliko raslimali za nchi ikiwemo bandari?!
Kuna magaidi wanavaa sare za majeshi mbalimbali. Kwa usalama wa nchi Ni Bora zipigwe marufuku tuBadala ya kufanya vitu vya msingi, mnakazania vitu vidogo vidogo ambavyo ni aibu hata kusikia ni kauli toka Jeshi la wananchi.
Si mwende mkajifunze kwa wenzenu hata Burkina Faso kwa Bwana mdogo Capt. Ibrahim Traolè?!
Sio JW tuu, Kuna makondakta, vyama vya siasa wameiga mishono na rangi za majeshi mengine na wao watashughulikiwa. Kuna watu wanajiita makamandabna kufananisha uniform za majeshi wakati hata sungu sungu hawajawahi kuchezaMsije tu kusema kuwa Mzalendo Halisi GENTAMYCINE sikuwakumbusheni juu ya hili na Taarifa hii pia.
Na wamesema Siku zao Saba za Huruma na Kuzisalimisha Kwao zikiisha tu Wakikumata nazo kwa Watakachokufanya unaweza hata ukashindwa kutoa Haja Kubwa ( Kuukweka ) kwa miaka mitano na utajua Mwenyewe utaitolea wapi.
Shikamooni JWTZ akina Poti wangu.
Watuwekee tuzijue zipi..maana kuna hadi mabegi siku hizi..usije beba begi lenye kijani ya jeshi wakasema rangi yao wakati haina mabaka.Msije tu kusema kuwa Mzalendo Halisi GENTAMYCINE sikuwakumbusheni juu ya hili na Taarifa hii pia.
Na wamesema Siku zao Saba za Huruma na Kuzisalimisha Kwao zikiisha tu Wakikumata nazo kwa Watakachokufanya unaweza hata ukashindwa kutoa Haja Kubwa ( Kuukweka ) kwa miaka mitano na utajua Mwenyewe utaitolea wapi.
Shikamooni JWTZ akina Poti wangu.
Hizi nchi za ukanda wa afrika ni shidaila nchi hii bhana itatuchukua muda mrefu sana kuendelea, yaani mavazi ya jeshi yana thamani kuliko raslimali za nchi ikiwemo bandari?!