Nawakumbusha tu zimebaki Siku 4 tu ili JWTZ waanze Msako wa Nguo zinazofanana na Sare zao Majumbani na Mitaani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Msije tu kusema kuwa Mzalendo Halisi GENTAMYCINE sikuwakumbusheni juu ya hili na Taarifa hii pia.

Na wamesema Siku zao Saba za Huruma na Kuzisalimisha Kwao zikiisha tu Wakikumata nazo kwa Watakachokufanya unaweza hata ukashindwa kutoa Haja Kubwa ( Kuukweka ) kwa miaka mitano na utajua Mwenyewe utaitolea wapi.

Shikamooni JWTZ akina Poti wangu.
 
Tunapeleka wapi saaaa😭
 
Nina viatu, kalamu, vesti, handchief, tshirt, shati, bajaj nimeiremba mabakabaka, mpaka mwanangu ana nguo na kofia za mabakabaka. Ila hayo mabaka ni ya majeshi ya nchi za nje, nguo zingine nimezununua mitumbani sijui kama hao JWTZ watadai ni sare zao wakati hazina ufanano kimabaka
 
Msije tu kusema kuwa Mzalendo Halisi GENTAMYCINE sikuwakumbusheni juu ya hili na Taarifa hii pia.

Na wamesema Siku zao Saba za Huruma na Kuzisalimisha Kwao zikiisha tu Wakikumata nazo kwa Watakachokufanya unaweza hata ukashindwa kutoa Haja Kubwa ( Kuukweka ) kwa miaka mitano na utajua Mwenyewe utaitolea wapi.

Shikamooni JWTZ akina Poti wangu.
Tunakabidhi ofisi gani?

Maana kuna nguo za kichina nimemnunulia mtoto amaezaliwa miezi mitatu sasa sitaki shida waje wachukue.
 
Badala ya kufanya vitu vya msingi, mnakazania vitu vidogo vidogo ambavyo ni aibu hata kusikia ni kauli toka Jeshi la wananchi.
Si mwende mkajifunze kwa wenzenu hata Burkina Faso kwa Bwana mdogo Capt. Ibrahim Traolè?!
 
Nguo inayofanana na sare ya majeshi yeyote duniani. Kilichopo Ni kusalimisha. Ukikaidi utapigwa tu.
 
Badala ya kufanya vitu vya msingi, mnakazania vitu vidogo vidogo ambavyo ni aibu hata kusikia ni kauli toka Jeshi la wananchi.
Si mwende mkajifunze kwa wenzenu hata Burkina Faso kwa Bwana mdogo Capt. Ibrahim Traolè?!
Kuna magaidi wanavaa sare za majeshi mbalimbali. Kwa usalama wa nchi Ni Bora zipigwe marufuku tu
 
Msije tu kusema kuwa Mzalendo Halisi GENTAMYCINE sikuwakumbusheni juu ya hili na Taarifa hii pia.

Na wamesema Siku zao Saba za Huruma na Kuzisalimisha Kwao zikiisha tu Wakikumata nazo kwa Watakachokufanya unaweza hata ukashindwa kutoa Haja Kubwa ( Kuukweka ) kwa miaka mitano na utajua Mwenyewe utaitolea wapi.

Shikamooni JWTZ akina Poti wangu.
Sio JW tuu, Kuna makondakta, vyama vya siasa wameiga mishono na rangi za majeshi mengine na wao watashughulikiwa. Kuna watu wanajiita makamandabna kufananisha uniform za majeshi wakati hata sungu sungu hawajawahi kucheza
 
Msije tu kusema kuwa Mzalendo Halisi GENTAMYCINE sikuwakumbusheni juu ya hili na Taarifa hii pia.

Na wamesema Siku zao Saba za Huruma na Kuzisalimisha Kwao zikiisha tu Wakikumata nazo kwa Watakachokufanya unaweza hata ukashindwa kutoa Haja Kubwa ( Kuukweka ) kwa miaka mitano na utajua Mwenyewe utaitolea wapi.

Shikamooni JWTZ akina Poti wangu.
Watuwekee tuzijue zipi..maana kuna hadi mabegi siku hizi..usije beba begi lenye kijani ya jeshi wakasema rangi yao wakati haina mabaka.

Kwa lile biti alilopiga jamaa ni dhahiri zama za kuoneana zimeanza.
 
Waanzishe tu tayari tumepata njia nyingine ya kutumia.
FB_IMG_1692988920184.jpg
 
Sare za JWTZ sio makombati tuu ya mabaka mabaka... kuna zile sketi na shati au suruali na shati rangi onakua kama dark blue na sharti la dark blue.... hizi itakuaje?
 
Back
Top Bottom