Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Na zingine hazifanani na combati ya Tz ila zinafanan na combati ya Ghan. Je wanazitaka na hizi?Sare za JWTZ sio makombati tuu ya mabaka mabaka... kuna zile sketi na shati au suruali na shati rangi onakua kama dark blue na sharti la dark blue.... hizi itakuaje?
Kwa mfano, Arusha kuna viatu vingi sana maduka ya mtumba ziko boot kama za jeshi lakini siyo jeshi hili, sisi tunaita American boot, au jungle boot , nazo watasema ni zao?Nina viatu, kalamu, vesti, handchief, tshirt, shati, bajaj nimeiremba mabakabaka, mpaka mwanangu ana nguo na kofia za mabakabaka. Ila hayo mabaka ni ya majeshi ya nchi za nje, nguo zingine nimezununua mitumbani sijui kama hao JWTZ watadai ni sare zao wakati hazina ufanano kimabaka
Ilimradi chochote kile, iwe nguo yenye mabaka yanayofanana na zao au hata za nchi za njeπ€¦πΎπ€¦πΎπ€¦πΎNa zingine hazifanani na combati ya Tz ila zinafanan na combati ya Ghan. Je wanazitaka na hizi?
Kwanini halisimamiwi na sheria na badala yale wanasimamia wao? Ikitokea madhara tutamlaum nani?Ilimradi chochote kile, iwe nguo yenye mabaka yanayofanana na zao au hata za nchi za njeπ€¦πΎπ€¦πΎπ€¦πΎ
si wasake wezi na wala rushwa.Msije tu kusema kuwa Mzalendo Halisi GENTAMYCINE sikuwakumbusheni juu ya hili na Taarifa hii pia.
Na wamesema Siku zao Saba za Huruma na Kuzisalimisha Kwao zikiisha tu Wakikumata nazo kwa Watakachokufanya unaweza hata ukashindwa kutoa Haja Kubwa ( Kuukweka ) kwa miaka mitano na utajua Mwenyewe utaitolea wapi.
Shikamooni JWTZ akina Poti wangu.
du haya.Msije tu kusema kuwa Mzalendo Halisi GENTAMYCINE sikuwakumbusheni juu ya hili na Taarifa hii pia.
Na wamesema Siku zao Saba za Huruma na Kuzisalimisha Kwao zikiisha tu Wakikumata nazo kwa Watakachokufanya unaweza hata ukashindwa kutoa Haja Kubwa ( Kuukweka ) kwa miaka mitano na utajua Mwenyewe utaitolea wapi.
Shikamooni JWTZ akina Poti wangu.
Watakuja kukubebe wewe na hicho kitiWaanzishe tu tayari tumepata njia nyingine ya kutumia.View attachment 2729438
Huruhusiwi kufanana nguo na jeshi lolote la TanzaniaNina viatu, kalamu, vesti, handchief, tshirt, shati, bajaj nimeiremba mabakabaka, mpaka mwanangu ana nguo na kofia za mabakabaka. Ila hayo mabaka ni ya majeshi ya nchi za nje, nguo zingine nimezununua mitumbani sijui kama hao JWTZ watadai ni sare zao wakati hazina ufanano kimabaka
Hebu nifahamisheKwanini halisimamiwi na sheria na badala yale wanasimamia wao? Ikitokea madhara tutamlaum nani?
mkuuu wamesema nguo zoote hata za majeshi mengine hutakuwi kuwa Nazi wewe RAIA,zipeleke serikali ya mtaaNina viatu, kalamu, vesti, handchief, tshirt, shati, bajaj nimeiremba mabakabaka, mpaka mwanangu ana nguo na kofia za mabakabaka. Ila hayo mabaka ni ya majeshi ya nchi za nje, nguo zingine nimezununua mitumbani sijui kama hao JWTZ watadai ni sare zao wakati hazina ufanano kimabaka
π π π πWenye sare za jeshi, chungeni msije mkapatana na haya
View: https://m.youtube.com/watch?v=YOJUB01u0k0&t=96s&pp=ygUabmFpamEgbWFuIGFuZCBhcm15IHVuaWZvcm0%3D
Washindwe kusaka wauwaji kibiti waweze kuingia majumbani mwa watu kutafuta nguo zinazofanana na sare zao kweli kuna maajabu. Kwanza wangekataza nguo hizo kuingia kama mitumba au nguo spesho alafu ndio watoe katazo lao. Sasa wanatuuzia mtumbani alafu uswahilini wanatumendea. Nchi ngumu sana hiiMsije tu kusema kuwa Mzalendo Halisi GENTAMYCINE sikuwakumbusheni juu ya hili na Taarifa hii pia.
Na wamesema Siku zao Saba za Huruma na Kuzisalimisha Kwao zikiisha tu Wakikumata nazo kwa Watakachokufanya unaweza hata ukashindwa kutoa Haja Kubwa ( Kuukweka ) kwa miaka mitano na utajua Mwenyewe utaitolea wapi.
Shikamooni JWTZ akina Poti wangu.
Hizi za walinzi wa makampuni hazina shidaSare za JWTZ sio makombati tuu ya mabaka mabaka... kuna zile sketi na shati au suruali na shati rangi onakua kama dark blue na sharti la dark blue.... hizi itakuaje?