mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
Duh,umenusurikaje hapo 😁Kuna kichocho nimepita nimewakuta wameshushana trouser na miguno juu
Yeah,suluhu ni kukimbia mkuuWadada pia acheni Tabia ya Kuhamisha mambo ya kuingiliwa nyuma.Wadada wa Sasa wamejaa Upumbavu sana.Unakuta Mdada mzuri Yaani ila anapenda kufanywa nyuma daah...Mimi nikikutana na Mdada wa aina hiyo namkimbia muda huo huo
Mnafanya nini huko Instagram, kwani mnapungukiwa nini msipokuwa huko Instagram kama mimi?Dah ila mashoga yenyewe wanashawishi kinoma aisee, mim sio mlaji wa huo uchafu ila Insta wanatrend sana
Mimi nimekumiss wewe to yeye wangu barafu wa moyoNimemiss avatar yako jaman
haya mathread nayo ni ya kufutwa tu, haya ndio yanaupa promo huo uchafu, kila kukicha ni mathread ya ushoga, ushoga, ulawiti, Ulawiti, ulawiti kuyazungumzia sana mambo ndio kuyakuza.Hakika hamtaiona mbingu, mtaangamia vibaya, kifo chenu kitakuwa cha majuto na mateso. Haijalishi umeshawishiwa au umeshawishi, kumwingilia mtoto wa mwenzio kinyume na maumbile ni laana na mnadhalilisha hao vijana na wazazi wao. Acheni mara moja, tubuni, msifanye hivyo jamani, siyo vizuri wana wazazi pia hao mwee!😭😭
Ee Mwenyezi Mungu, tufumbue macho kama ulivyowafumbua Adamu na Hawa pale Edeni wakajua kuwa wamekutenda dhambi, tufumbue nasi tujue namna tunavyokukosea, amina🙏🙏. Dah!
Hiyo ni Sponji ime dizainiwa kupandisha maruhani..? [emoji23][emoji23]Hivi unaaacha chombo tamu km hii yaan unainjoi maisha unaenza kukutana na mwanaume mwenzio hao jamaa naona km kuna mende wako kichwani wanakata nyaya ndo maana wanakua network search haiwezekani ukalibinue janaume wakati kuna watoto wa kike laini watoto nyororo.View attachment 2564285
Hivi amri za Mungu hazijasema kama kufira ni dhambi? [emoji848]Kigeni ni kipi kabla ya ujio wa kristo au utandawazi ndio unakuzindua.
Ndo mana ktk zile amri kumi halipo kama katiba yenu ya nchi.
Hili nalo neno.Sasa kama wamependa wao wewe unateseka nini?
Duuh.Halafu majitu ya hivi ipo mingi tuu.
Ukiyaona utadhani wanaume kumbe na mashetani wenye miili ya kiume wanaoishi duniani
Halafu utaskia wanavyopambana kuprotect watoto wao wakati wa wengine wanawageza
Sasa waendelee kufanya ila wajue watoto wao watafanywa hadi wakose uzazi... siwapendi hawa mafirauni basi tuu[emoji849][emoji849]
SawasawaKwa wote lakini haswa hawa wanaowainamisha vijana
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji37][emoji37][emoji37]Umeandika kwa uchungu mno...warekebishe hiyo sio poa kuingiliana kinyume na maumbile wakati mipododo ipo ya kutosha