Nawalaumu sana Hamas, Serikali ya Israeli pamoja na wale wanaowaunga mkono

Huyu ndio anatuamiaga akili kubwa na hekima ya Mungu sio wengine wenye mihemuko isiyo na kichwa wala miguu,kama waislamu na uislamu ungekuwa na mlengo kama mtoa mada alivyo hakika ingekuwa dini yenye kufaa mno kwa binadamu.
Uislam ni dini inayofaa kwa wanaadamu wote kwa [emoji817]%
Uislam ndio mfumo sahihi kabisa wamaisha ya wanaadam
Ndio maana hujawahi na hutawahi kuja kisikia watoa maamuzi au mashekhe wanahalalisha usenge na usogaji kama kwenye mrengo wa kushoto
 
Tatizo lipo kwenye maagizo ya 'mungu' wenu kutaka muue Wayahudi wote, hao Wapalestina ni mara nyingi sana dunia imejaribu kutatua tatizo la pale mahali kwa kuibua mbinu za kufanya waishi kwa amani na Wayahudi, maana pale wamezikwa mababu wa Wayahudi akina Musa, Daudi na n.k. lakini Waarabu hawapendi kushirikiana, wao huishi kwa kauli moja tu kwamba Wayahudi wote wafe.
Ifahamike ndani ya Israel kuna Waarabu ambao wanaishi kwa amani bila bugdha, shida huwa kwa hawa hufuata maagizo ya 'mungu' wenu na kusahau Mungu wa Wayahudi ana nguvu kuzidi huyo wenu. Kila mkijaribu kuwafuta mnafutika nyie.
Maandiko yenu yako bayana, mumeagizwa muwinde Wayahudi hadi aliyejificha nyuma ya jiwe,

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
 
Tatizo lako akili huna halafu unakurupuka na kujaa mihemko mingi.

1. Hilo andiko wapi limesema muwauwe Mayahudi wakati limetoa utabiri Tu kwa yale yatakao kuja mbele ? Kama ni hivyo kwa nini Mtumie Muhammad (Peace and blessings be upon him) asiwe wa kwanza kuwauwa wakati Dola ya Uislamu iliposimama Madina mbona aliishi na Jews kwa Amani tu na walipewa Uhuru pamoja na kulindwa na Dola ya Uislamu?

Njoo darasani kihistoria zaidi ;

Wakati ulaya na Wakristo wakiwakataa Jews kuwatesa na kuwauwa kwa sababu ya kuwachukulia kama Christ killers na nyingenezo ,wengi walikimbilia katika ardhi za Waislamu na wakaishi kwa Amani kama kwa ndugu zao bila kero zozote ndio maana wengi walikiwepo Mirsi ,Iraq , Tunisia nk na hata kuoewa vyeo na heshima katika Serikali za Waislamu ,uhasama mkubwa umekuja baada ya Uzayuni na uundaji wa Taifa batili la Israel.
 
Natamani wahusika wangepita hapa na waelewe lugha ingesaidia
 
Wapalestina wanafuata amri ya mume muddy ya kuuua kila asiyekuwa muislam. Na hiyo ndyo dini ya mnyahazi mungu wa kuzimu
Historia ya Uislamu unakataa unayosema ,ingekuwa hivyo basi walivyounyakua majina Jerusalem kwa mara ya kwanza wangeuwa makasisi wote na wengine wasio Waislamu vilevile wasingeruhusu Jews kurudi na kuisihi tena pale katika utawala wao.

Na wakati wa Dola ya Uislamu iliposimama Madina kulikuwa na Jews wengi Tu hao wangekuwa wa kwanza kuuwawa .

Kama hivyo kusingukuwa katika dini Sheria kuhusu wale wasio Waislamu wanapoishi chini ya Dola ya Uislamu ambapo Sheria hizo zimeweka haki zake ,mipaka pamoja na Wajibu wake huyo .

Sasa kama unayosema ni kweli haya niliyoyasema tena yana ushahidi yasingekuwa na mantiki Bali njia ingekuwa moja ni kuua tu , ushauri tenga muda wako kufuatilia vitu na kujifunza ikiwa unafuata chochote unacholetewa ,kuona kwa baadhi ya watu na kulishwa propaganda blindly basi utapokea uongo mwingi sana hata kwenye familia na jamii utakuwa mtu wa maugomvi na chuki dhidi ya watu.
 
Wewe mpuzi tu wengi humu hawajakushtukia unafiki wako, wakati ni wale wale tu, hili andiko liko bayana sana tena kwa lugha nyepesi sana kwamba muue Wayahudi.
na sio hilo andiko pekee yake, kuna mengine yanawaagiza muue kila asiye muislamu, dini imekaa kikatili kwenye kila kitu, tatizo kila mkianzisha mnauawa nyie maana 'mungu' wenu ni dhaifu ukilinganisha na Mungu wa hao Wayahudi

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
ulisahau hizi hapa za wakurungwa wa mola wakifukua pipes za maji kutengeneza rocket mwitu ndio kipaumbele Cha wapiga kura wao
 
Hahahaha!! kila siku unakimbilia Aya ambazo ukiambiwa ukae chini kwa kutulia bila jazba na hizo Aya zifanyiwe majadiliano ya kina unakimbia sababu huwezi majadiliano kama hayo ya hoja ,kusikilizana ,hekima na uadilifu bali wewe ni Fanatic kama Maghayo haulewi lugha ya kusikilizana na hoja isipokuwa yale unayotaka wewe.

Ukiwa upo tayari kujibu hoja zangu na kusikilizana nipo tayari tujadil hizo Aya bila shida yeyote.

Jews wameteswa na kuuwawa sana ulaya tofauti na walivyokuwa wanaishi katika Muslim lands ,hata neno Ghetto asili yake ilikuwa maeneo machafu yasioeleweka ambapo ilikuwa kama makazi ya Jews kwenye nchi moja huko ulaya ..

Nina facts zaidi ya 100 zikionyesha madhila walivyokuwa wakipitia Jews huko ulaya ilikuwa wanachukuliwa kama Mbwa tofauti kabisa na upande wa Waislamu..

Ulaya under Christian rule Jews walichukukiwa kama Jesus Killers waliishi maisha ya dhiki sana ,ikitokea kitu kidogo mbuzi wa kafara ni Jews pamoja na kupata madhila mbalimbali..

Kuna hadithi nyingi tu Waislamu na Mtumie mwenyewe (SwallaLlahu 'alayhi wasalaam) akifanya majadiliano na Jews huko Madina chini ya Dola ya Uislamu katika mambo mabalimbali ya dini sasa ilikuwaje hawakuuliwa ?
 
Nikae chini kutulia aya zifanyiwe majadiliano wakati zenyewe ziko bayana ukizingatia nyie wenyewe mumefundishwa kuchukia ilmu ya dunia, magaidi wa dini yenu wote hutumia hizo aya kuchinja watu.
Chukulia kwa mfano hiki kisa magaidi yenu yaliteka bus Kenya na kuanza kuhoji asiye wa dini ya muarabu wenu na kuchinja, yaani kila ambaye alishindwa kudhihirisha uislamu wake alichinjwa.

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Mauaji dhidi ya Wayahudi yalianza tangu enzi za akina Musa hata kabla ujio wa Yesu, na hata huyo 'mungu' wako muhammad alijaribu sana sa kuwafuta, kawaua lakini hakuwamaliza kaishia kufa yeye.
 
Vifo zaidi vinatakiwa kuongezeka Palestine huo ndio ukweli, Israel inapaswa iongeze mashambuli mazito Zaidi bila huruma yoyote.
 
Uislam ni dini inayofaa kwa wanaadamu wote kwa [emoji817]%
Uislam ndio mfumo sahihi kabisa wamaisha ya wanaadam
Ndio maana hujawahi na hutawahi kuja kisikia watoa maamuzi au mashekhe wanahalalisha usenge na usogaji kama kwenye mrengo wa kushoto
Uislamu Ni ugaidi
 
Vifo zaidi vinatakiwa kuongezeka Palestine huo ndio ukweli, Israel inapaswa iongeze mashambuli mazito Zaidi bila huruma yoyote.
Hawajaanza kupigwa Leo na kuuliwa kama hiyo ndio solution pekee waendelee kuangamiza ila wajue kwamba hawatowamaliza wala hiyo kuwa ndio suluhu ya amani kwao .

Na wewe huku Mbongo jambo hilo halitokusaidia kwa hali yeyote wala kuinua kipato chako zaidi ya kuwa shabiki oya oya tu kama Maghayo .
 
Wewe unapoleta ushabiki maandazi kwa wapalestina wanakusaidia Nini? Wamekupa hata kanzu?.
 
Wewe unapoleta ushabiki maandazi kwa wapalestina wanakusaidia Nini? Wamekupa hata kanzu?.
Sio ushabiki maandazi ndio maana nik dhidi ya matumizi ya nguvu hovyo bila faida ,utekaji na mashambulio kwa Raia ambayo yanafanywa kwa mwamvuli wa kutaka kujikomboa Palestine.

Kingine napiga unyama wanaofanyiwa wao kuuliwa mpaka vichanga sehemu imefika hatua mpaka umoja wa mataifa , UNICEF nk wanasema yanayotokea Palestine pengine ni unyama mkubwa zaidi kutokea karibu dhidi ya wanadamu.

Kama mafuriko hapa watu wachache Taifa limepatwa majonzi na hasara kubwa kutokea sasa Wapalestina kuuliwa kwa maelfu na madhila mengine umekuwa ndio ada yao kwa zaidi ya miaka hamisini mateso juu ya mateso.
 
Uislam ni dini inayofaa kwa wanaadamu wote kwa [emoji817]%
Uislam ndio mfumo sahihi kabisa wamaisha ya wanaadam
Ndio maana hujawahi na hutawahi kuja kisikia watoa maamuzi au mashekhe wanahalalisha usenge na usogaji kama kwenye mrengo wa kushoto
Kama vile ukristo bila roho mtakatifu haupo ndivyo ilivyo kwa uislamu bila majini haupo,na majini wanataka damu,kwahiyo uislamu hautakuja kuacha kumwaga damu za wasio hatia mpaka dunia inaisha
 
Huko Darfur maelfu na maelfu watoto na wanawake wanauwawa na displaced tena ni waislam na waafrika weusi ila dah hawana thamani kama mipalestina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…