The Sunk Cost Fallacy JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 19,582 Reaction score 14,167 Aug 2, 2022 #1 Wachina tayari wamekamata fursa na pia Nchini kwao kuna fursa ya soko kubwa. Msije kusema hamkuonyeshwa👇
Wachina tayari wamekamata fursa na pia Nchini kwao kuna fursa ya soko kubwa. Msije kusema hamkuonyeshwa👇
kayaman JF-Expert Member Joined Aug 3, 2013 Posts 4,516 Reaction score 10,423 Aug 2, 2022 #2 Kilimo ndio njia pekee inayoweza kumuinua masikinini kutoka umasikini wake
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Aug 2, 2022 #3 kayaman said: Kilimo ndio njia pekee inayoweza kumuinua masikinini kutoka umasikini wake Click to expand... Masikini wenye mitaji hao hawa wanaolimia jembe la mkono. #MaendeleoHayanaChama
kayaman said: Kilimo ndio njia pekee inayoweza kumuinua masikinini kutoka umasikini wake Click to expand... Masikini wenye mitaji hao hawa wanaolimia jembe la mkono. #MaendeleoHayanaChama