Nawamiss Watanzania. Nikirudi huko kwenu naomba Mnitembeze haya maeneo nimeyasikia wenzenu wakiyataja Huku niliko

Tajiri ni mmoja tu jf Bill luganoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na ukipelekwa kwa Mperlangeh usisite kutupa mrejesho tajiri namba moja wa jf
 
Tajiri ni mmoja tu jf Bill luganoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huyu jamaa ni Billionea hasa aisee..... 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Halafu hana majidai kabisa...
 
Sio kwa mpalange ni kwa mperlangeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] stress jf ni kujitakia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee
 
Mwamba sijui alifia wapi any way karibu tajiri wetu wa JF sisi walalahoi tunaomba utuletee treni ya umeme basii
 

Na kuna watu wana amini kabisa haya na wanajua upo majuu huko maisha mazuri kumbe upo zako Nkonze unauza mahindi ya kuchoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…