Nawamiss Watanzania. Nikirudi huko kwenu naomba Mnitembeze haya maeneo nimeyasikia wenzenu wakiyataja Huku niliko

Nawamiss Watanzania. Nikirudi huko kwenu naomba Mnitembeze haya maeneo nimeyasikia wenzenu wakiyataja Huku niliko

Bill Lugano, kile chumba cha giza cha 25,000 ulichosema nikutafutie nimekosa kwa hapa Somanga. Ila kuna chumba cha umeme choo cha kushea, kodi 40,000 ila masika kinakuwa kisiwa.
Nipigie kwenye namba yangu inayoishia na 16 maana simu yenye namba zako imezima.
 
Back
Top Bottom