Nawaomba radhi Watanzania kwa kumpendekeza hayati Magufuli kwa hayati Mkapa

Katika hayo uliyoyaorodhesha ni lipi limekamilika na hakuna mikopo kutekeleza hiyo miradi?
 
Magufuli tuliyemuunga mkono akiwa waziri sio yule aliyekuwa rais.
 
Ujifunze kuacha mihemko, tuli na tafakari kwanza. Matokeo yake bado yanaendelea kutesa watu awamu ya sita
 
Unalipwa kiasi gani kwa hichi ulichoandika?
 
Hakuna lolote. Vitu pekee ambavyo Magufuli anamzidi Samia ni; Kuua wakosoaji, UDIKTETA, kudhibiti bunge, kuitisha Mahakama, kubana vyombo vya habari na kukurupuka kwenye maamuzi.

Umaskini ni laana. Unachukia matajiri na unasahau kuwa wao ndiyo waajiri wakubwa wa wafanyakazi kuliko Serikali.

Magufuli kwa upumbavu wake alimfilisi Yusuf Manji na akasahau kuwa Manji anaajiri watu 3,000 wanaopata mishahara moja kwa moja kupitia makampuni yake ya Quality Group na wengine zaidi ya 300,000 indirectly kupitia ununuzi wa mazao kama korosho, mbaazi na ufuta.

Hawa machinga wanaohangaika kuuza barabarani bidhaa kwa asilimia kubwa ni zao la upumbavu wa Magufuli. Kadri sekta binafsi itakavyoimarika ndivyo ajira zitatengenezwa.
 

Jamaa JPM shida yake moja ty He is too mechanical

Kama hakupata kitubio cha dhambi atakua anachomwa moto wa GESI yaani
 
Vyeti fake utawajua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…