Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm mnajuanaKilichobadirika ni kitu gani?
Haya matozo?
Katika hayo uliyoyaorodhesha ni lipi limekamilika na hakuna mikopo kutekeleza hiyo miradi?Je Hatuoni makubwa aloyafanya Kwa Nchi hiii?? Uliwah waza serikali kuhamia Dom? Vipi bwawa la JNHEPP lilowashinda wengi Kwa Presha za magharibi?? Vipi kuhusu SGR? ma Flyover kila Kona ? vipi kuhusu Daraja la Busisi na Madaraja makubwa makubwa ? Vipi husu Shirika letu la Ndege ?? Vipi Elimu Bure ???
Unafiki ni nini kwa tafsiri yako?Magufuli hakuwa mnafiki
Magufuli tuliyemuunga mkono akiwa waziri sio yule aliyekuwa rais.Ile kanununi ya uongo ukisemwa sana hugeuka kuwa ukweli imekataa kwenye kumchafua JPM pamoja na mapungufu yake kuongezewa chumvi ili yanoge yanaposikilizwa na kusomwa. Najiuliza uko hai khalafu unashinda na marehemu aliye lala kaburini. Inaingia akilini kweli hii??!!.
Ujifunze kuacha mihemko, tuli na tafakari kwanza. Matokeo yake bado yanaendelea kutesa watu awamu ya sitaMwaka 2013 nilikuwa namkubali sana Magufuli kwa namna alivyokuwa anasimama imara kufuata sheria kama waziri. Nilileta huu uzi kumfanyia lobbying kwenye chama Kwa timu hii ya rais na makamu wa rais, CCM tutashinda 2015.
Niliamini huyo ndio atakuwa msaada katika kuijenga Tanzania inayofuata sheria hivyo siku moja nilikutana na Mkapa nikawa namsifia sana huyo waziri. Najua Mkapa alikuwa anampenda Magufuli kama kijana wake lakini watu tulipokuwa tunamtaja mbele yake akapata hamasa sana kumpigania apitishwe.
Bahati mbaya Magufuli alipopata uraisi alibadilika sana na kuacha kufuata sheria na katiba. Hakutaka uhuru wa habari wala changamoto yoyote ya kimawazo. Aligeuka kuwa katili na msema hovyo. Aligeuka akawa muongo sana, aliendesha nchi kwa mikopo lakini anadanganya ni fedha za ndani. Aliua uwekezaji.
Wote tulibaki mdomo wazi kwa aliyoyafanya. Watanzania naomba mnisamehe.
Unalipwa kiasi gani kwa hichi ulichoandika?Mwaka 2013 nilikuwa namkubali sana Magufuli kwa namna alivyokuwa anasimama imara kufuata sheria kama waziri. Nilileta huu uzi kumfanyia lobbying kwenye chama Kwa timu hii ya rais na makamu wa rais, CCM tutashinda 2015.
Niliamini huyo ndio atakuwa msaada katika kuijenga Tanzania inayofuata sheria hivyo siku moja nilikutana na Mkapa nikawa namsifia sana huyo waziri. Najua Mkapa alikuwa anampenda Magufuli kama kijana wake lakini watu tulipokuwa tunamtaja mbele yake akapata hamasa sana kumpigania apitishwe.
Bahati mbaya Magufuli alipopata uraisi alibadilika sana na kuacha kufuata sheria na katiba. Hakutaka uhuru wa habari wala changamoto yoyote ya kimawazo. Aligeuka kuwa katili na msema hovyo. Aligeuka akawa muongo sana, aliendesha nchi kwa mikopo lakini anadanganya ni fedha za ndani. Aliua uwekezaji.
Wote tulibaki mdomo wazi kwa aliyoyafanya. Watanzania naomba mnisamehe.
Hakuna lolote. Vitu pekee ambavyo Magufuli anamzidi Samia ni; Kuua wakosoaji, UDIKTETA, kudhibiti bunge, kuitisha Mahakama, kubana vyombo vya habari na kukurupuka kwenye maamuzi.Ujinga mtupu.... Alikunyima nafasi?? Biashara zako ziliathirika ???magep yako yalipigwa pingu??? Chuma hakua anajali wee ni MwanaCCM au lah..
Baba wa watu alitaka Kila Mmoja afuate taratibu na sio Ujanja Ujanja tu.
Hata hivo nikuulize wee Mnafiki ... Je Hatuoni makubwa aloyafanya Kwa Nchi hiii?? Uliwah waza serikali kuhamia Dom? Vipi bwawa la JNHEPP lilowashinda wengi Kwa Presha za magharibi?? Vipi kuhusu SGR? ma Flyover kila Kona ? vipi kuhusu Daraja la Busisi na Madaraja makubwa makubwa ? Vipi husu Shirika letu la Ndege ?? Vipi Elimu Bure ???
Ebwanaaa tukaanza fanana na Ulaya.
Kama Hilo dogo, Mwamba akatuingiza uchumi wa Kati katikati ya Vita ya Corona??.
NINA KILA SABABU KWA MOYO WANGU MKUNJUFU, AKILI YAKO,,, KUKUSHAURI WEWE MTAFUTA TEUZI , JARIBU KUFICHA MATOPE YAKO KICHWAN.
WATANZANIA WANA MACHO ,WANA MASIKIO, WALIONA MATENDO YAKE, WALISIKIA MANENO YAKE NA AKAYATENDA .
Ujinga mtupu.... Alikunyima nafasi?? Biashara zako ziliathirika ???magep yako yalipigwa pingu??? Chuma hakua anajali wee ni MwanaCCM au lah..
Baba wa watu alitaka Kila Mmoja afuate taratibu na sio Ujanja Ujanja tu.
Hata hivo nikuulize wee Mnafiki ... Je Hatuoni makubwa aloyafanya Kwa Nchi hiii?? Uliwah waza serikali kuhamia Dom? Vipi bwawa la JNHEPP lilowashinda wengi Kwa Presha za magharibi?? Vipi kuhusu SGR? ma Flyover kila Kona ? vipi kuhusu Daraja la Busisi na Madaraja makubwa makubwa ? Vipi husu Shirika letu la Ndege ?? Vipi Elimu Bure ???
Ebwanaaa tukaanza fanana na Ulaya.
Kama Hilo dogo, Mwamba akatuingiza uchumi wa Kati katikati ya Vita ya Corona??.
NINA KILA SABABU KWA MOYO WANGU MKUNJUFU, AKILI YAKO,,, KUKUSHAURI WEWE MTAFUTA TEUZI , JARIBU KUFICHA MATOPE YAKO KICHWAN.
WATANZANIA WANA MACHO ,WANA MASIKIO, WALIONA MATENDO YAKE, WALISIKIA MANENO YAKE NA AKAYATENDA .
Vyeti fake utawajua tuMwaka 2013 nilikuwa namkubali sana Magufuli kwa namna alivyokuwa anasimama imara kufuata sheria kama waziri. Nilileta huu uzi kumfanyia lobbying kwenye chama Kwa timu hii ya rais na makamu wa rais, CCM tutashinda 2015.