Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kweli kwa Sir 100 kosa lilikua kubwa zaidiUombe pia msamaha kwa niaba ya huyo mangufuli kwa kuamua kwake kumpendekeza 🕣100 kuwa msaidizi wake, badala ya Mwii nyii Jr.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kwa Sir 100 kosa lilikua kubwa zaidiUombe pia msamaha kwa niaba ya huyo mangufuli kwa kuamua kwake kumpendekeza 🕣100 kuwa msaidizi wake, badala ya Mwii nyii Jr.
Hili kweli ni la kuombana Msamaha JPM alitukosea sana .Uombe pia msamaha kwa niaba ya huyo mangufuli kwa kuamua kwake kumpendekeza [emoji804]100 kuwa msaidizi wake, badala ya Mwii nyii Jr.
Wwe lazima utakua mpiga deal! Haya Sasa wwe endelea kupiga deal Sasa na Mama wala hana noma na Wapiga deal mradi pesa tu ije kitaa!!Mwaka 2013 nilikuwa namkubali sana Magufuli kwa namna alivyokuwa anasimama imara kufuata sheria kama waziri. Nilileta huu uzi kumfanyia lobbying kwenye chama Kwa timu hii ya rais na makamu wa rais, CCM tutashinda 2015.
Niliamini huyo ndio atakuwa msaada katika kuijenga Tanzania inayofuata sheria hivyo siku moja nilikutana na Mkapa nikawa namsifia sana huyo waziri. Najua Mkapa alikuwa anampenda Magufuli kama kijana wake lakini watu tulipokuwa tunamtaja mbele yake akapata hamasa sana kumpigania apitishwe.
Bahati mbaya Magufuli alipopata uraisi alibadilika sana na kuacha kufuata sheria na katiba. Hakutaka uhuru wa habari wala changamoto yoyote ya kimawazo. Aligeuka kuwa katili na msema hovyo. Aligeuka akawa muongo sana, aliendesha nchi kwa mikopo lakini anadanganya ni fedha za ndani. Aliua uwekezaji.
Wote tulibaki mdomo wazi kwa aliyoyafanya. Watanzania naomba mnisamehe.
Hili ninaamini litafanyiwa kazi. Kwangu hii ndio kazi pekee mhe Samia alitakiwa kuifanya maana yeye alikuwa mhanga mkubwa kipindi kile.kwa upande mwingine utawala wa Magufuli umekua kama Mwalimu kuja kutufundisha kama nchi tunatakiwa tuwe na mifumo imara ya kiendesha nchi. Katiba ipatikane ili nchi iende mbele
We sema tu ukweli alivyoingia madarakani ali athiri maslahi yako acha kuzungukazunguka.Mwaka 2013 nilikuwa namkubali sana Magufuli kwa namna alivyokuwa anasimama imara kufuata sheria kama waziri. Nilileta huu uzi kumfanyia lobbying kwenye chama Kwa timu hii ya rais na makamu wa rais, CCM tutashinda 2015.
Niliamini huyo ndio atakuwa msaada katika kuijenga Tanzania inayofuata sheria hivyo siku moja nilikutana na Mkapa nikawa namsifia sana huyo waziri. Najua Mkapa alikuwa anampenda Magufuli kama kijana wake lakini watu tulipokuwa tunamtaja mbele yake akapata hamasa sana kumpigania apitishwe.
Bahati mbaya Magufuli alipopata uraisi alibadilika sana na kuacha kufuata sheria na katiba. Hakutaka uhuru wa habari wala changamoto yoyote ya kimawazo. Aligeuka kuwa katili na msema hovyo. Aligeuka akawa muongo sana, aliendesha nchi kwa mikopo lakini anadanganya ni fedha za ndani. Aliua uwekezaji.
Wote tulibaki mdomo wazi kwa aliyoyafanya. Watanzania naomba mnisamehe.
Achana nao hawa wa vyeti feki hawawezi kumpenda magu kamweHayupo mwanadamu aliyemkamilifu. Mema ya JPM mwisho wa siku yatazidi mabaya yake ambayo yanaimbwa kila itwayo leo ilikufunika mazuri yote aliyoyafanya.
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"
Ni jambo jema kwamba uko huru kutoa maoni yako. Magufuli hakupenda maoni tofauti na yakwake.Nilitarajia kuona namna ulivyomtambulisha Magufuli kwa mkapa nakumbana na uzi ulioandika kwa ajili ya mwaka 2015.
Hakuna logic yeyote katika uzi huu.
Mkuu haya yanabakia kuwa makosa yake mwenyewe. Sidhani kama kuna mtu anayepaswa kubeba hukumu ya haya mambo isipokuwa yeye mwenyewe.Tambua pia kuwa umechangia ulemavu wa Lissu, kuumizwa vibaya kwa akina Mdude na kupotea kwa akina Saanane. Binafsi sina msamaha na wewe
Kwaiyo ulitaka aikamilishe hiyo miradi akiwa kaburi we mpumbavu.!?Katika hayo uliyoyaorodhesha ni lipi limekamilika na hakuna mikopo kutekeleza hiyo miradi?
Aiseeee !!!Tambua pia kuwa umechangia ulemavu wa Lissu, kuumizwa vibaya kwa akina Mdude na kupotea kwa akina Saanane. Binafsi sina msamaha na wewe
Gunzi la moto alilokutia magufuli mataconi bado linakuumiza sana, hivi hauonagi aibu kupambana na marehemu !? shame on ptuuuuuuu i spit on you.Hakuna lolote. Vitu pekee ambavyo Magufuli anamzidi Samia ni; Kuua wakosoaji, UDIKTETA, kudhibiti bunge, kuitisha Mahakama, kubana vyombo vya habari na kukurupuka kwenye maamuzi.
Umaskini ni laana. Unachukia matajiri na unasahau kuwa wao ndiyo waajiri wakubwa wa wafanyakazi kuliko Serikali.
Magufuli kwa upumbavu wake alimfilisi Yusuf Manji na akasahau kuwa Manji anaajiri watu 3,000 wanaopata mishahara moja kwa moja kupitia makampuni yake ya Quality Group na wengine zaidi ya 300,000 indirectly kupitia ununuzi wa mazao kama korosho, mbaazi na ufuta.
Hawa machinga wanaohangaika kuuza barabarani bidhaa kwa asilimia kubwa ni zao la upumbavu wa Magufuli. Kadri sekta binafsi itakavyoimarika ndivyo ajira zitatengenezwa.