Nawaomba radhi Watanzania kwa kumpendekeza hayati Magufuli kwa hayati Mkapa

Hata umsafishe hasafishiki kamwe.
 
Andika wewe kuhusu huyu aliyopo sasa.
Inaonyesha your lack of attention to detail....

Ukiangalia tena nilichoandika nimeandika wingi (Yaani sio Unge bali tunge mimi wewe na yeye akiwemo) kwa manufaa ya nchi yetu..., sasa kama unadhani mtu pekee anaweza ku-make a change rejea msemo wa kidole kimoja hakivunji chawa...
 
Hahitaji kusafishwa anajisafisha mnyewe huyo. Wafu hawana nafasi kati ya wenye uhai. Ndio sababu tuna washangaa wale wote wanaoendeleza ligi na marehemu.
Anajisafisha mwenyewe motoni akiwaomba radhi wale wote aliowatesa kipindi ni Rais asamehewe ,ili mateso yapunguwe lakini Lucifer anamwuliza je ulipokuwa unatesa watu mimi nilikutuma??Pambana na hali yako mkuu.
 
Anajisafisha mwenyewe motoni akiwaomba radhi wale wote aliowatesa kipindi ni Rais asamehewe ,ili mateso yapunguwe lakini Lucifer anamwuliza je ulipokuwa unatesa watu mimi nilikutuma??Pambana na hali yako mkuu.

Unatamani iwe hivyo eeeh! Pole yako. Endeleeni kuhangaika na barakoa ogopa kupigwa upofu na Mungu wa Mbinguni. Hisabu za chanjo ya kuruna.
 
Heee ngoja kwanza ncheke🤣🤣🤣
 
Mjinga mmoja wewe, Et aliyofanya zilikua sera za Jakaya

Nyambafu mkubwa .. IFIKE MAHALI MUWE NA KASUMBA YA KUPONGEZA WATU NA MAMBO YAO MAZURI WALOYAFANYA



hhizo sera za JK alishindwa kuzitimiza yeye mwenyewe??..

Kuhamia Dodoma ,au JNHEPP vilianzia Kwa JK ??.

Jipige kifuani Mara tatu ukijiambia "Mimi Pichukodada ni juaa, mpuuzi na mnafiki".
 
Kusifia kuwa amefanya maendeleo huku mikono yake ikiwa ilijaa damu na dhruma ni ujinga wa kupitiliza .kusingizia unafanya maendeleo huku unavunja haki za binadamu ni upumbavu wa kupitiliza ..huyu mtu alikuwa katili mjivuni muongo .maisha hv yapo juu Sana yy Ana mchango mkubwa sana.maana ni Kama iliingiza nchi ktk Vita kubwa kwa kuingiza miradi mikubwa kwa wakati mmoja..
 
Muda unasaidia kuufahamu ukweli.
 
Inasikitisha iwapo Magufuli alitengeneza watanzania wa aina hii.
 
  • Kwenye aya ya mwisho "Wote tulibaki midomo wazo....". Natamani ungeorodhesha hao wote mliobaki midomo wazi kwa majina.
  • Naamini yale makosa hayatajirudia tena
Kutaja watu majina sio jambo zuri. Ila ninaamini lile kosa halitajirudia tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…