Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #21
Nitaendelea kukuombea licha ya kukataa kata kata Neema na Baraka za Mungu.Wewe ni mnafiki,
Ulipinga maandamano ya HAKI na kuwaita waliodhamiria kuandamana Kwa Majina yote mabaya.
Umetubu lini Hadi uje kuwaombea Amani?
Katika Roho hiyo unamaanisha wew ni miongoni mwa watakao leta fujo na kusababisha uharbifu na maumivu kwa wengine...
kuepusha hilo,
Ikikupendeza baki tu nyumbani na mambo yako ya kishateni, waache waliojazwa Baraka na Neema za Mungu waandamane kwa ustarabu, utulivu, upendo na Amani...