Nawaonea huruma rafiki zangu, usiombe kuzaa na mwanamke asie na akili


show me your friends and I will tell you who you are.
 
Hiyo quote ya mwisho ya Spiderman [emoji28]
Nimemaliza kuicheki naona Marvel bado wanatumia slogan yao ambayo ipo upside down.

Wanasema 'Great power comes with great responsibility' kwamba tutafute power halafu responsibility ni matokeo ya kuwa na power. Unaweza iona hivyo lakini pia kuna hii👇

Ni kinyume na filosopher mmoja mkubwa[kijana mdogo though] Jeshua yeye alisemaga 'Badala yake, anayetaka kuwa mkuu kati yenu hana budi kuwa mtumishi wenu. Inaonesha power ni matokeo ya responsibility. Ona mfano Mo/Bakhresa kajipa great responsibility ya kulisha watu zaidi ya millioni 60 ngano ndiyo maana ni powerful persons.

Hivyo basi kwa mada yetu; mwanaume akiwa responsible kuhudumia mke na mtoto he becomes more powerful more manly. Akikimbia majukumu hayo anakuwa less of a man.
 
👍
 
hawa choka mbaya wanambegu sharp sana mistake kidogo mimba hii hapa
 
Binafsi nimeoa ila niliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke aliyezalishwa bila kuolewa. Huyu bi dada baada ya kuona kila akitakacho alikuwa anapewa yaani in terms of huduma akaanza sasa kutaka kunitawala. Hata nikimwambia usinitumie ujumbe tayari niko nyumbani na wife ananiuliza kwa hiyo nifanyeje wakati nami ni mkeo pia, nikawa namshangaa kwa kweli. Akiona sijibu sms zake anapiga simu mpaka nipokee, kwa kuwa nakuwa na wife karibu yangu namzuga kwa kumuuliza habari za kazini yeye anajifanya haelewi tu anataka kuzungumzia vitu anavyotaka yeye kuongelea kwa mfano, lini nakwenda kwake eti watoto wananimiss na siwatendei haki. Jamani, hawa watoto si wangu, nimemkuta nao na alizaa na jamaa wawili tofauti ambao wamemtema bila kumpa msaada wowote ule..
 
Mimi kyusa nimezaa na mchaga ila tunaelewana sana. Mpaka kuna muda ananimiss, hayupo kwenye mahisiano na mtoto yuko darasa la tano.kukiwa na shida juu ya mtoto napiga simu naongea na mwanangu afu ndo natuma hela huku dogo anajua kwamba BABA ANANITUMIA HELA YA KIATU AU YA BEGI LA SHULE AU YA KULA.
 
Masingo maza ni full stress
 
uko na bahati sana mwanetu
 
Uyo hana akili kabisa
 
Hizo sababu ambazo si za msingi ni zipi!? Usisahau kuwa hao wanaofanyiwa mambo meusi na wanawake wao, ni rafiki zako..!! Hivyo kuna uwezekano mkubwa sana kutuletea stori za upande mmoja na wenye kuwapendelea marafiki zako. Tupe stori za pande zote ili sisi kwa akili zetu tuone nani hana akili kati ya hao wanawake na rafiki zako
 
Ni kweli lazima tuonekane hatuna akili,umenizalisha kunioa umekataa bado unataka mawasiliano nami ya nini sasa.Mi ukishasema hunihitaji futa kumbukumbu zote zinihusuzo.Damn! Tunaishi Mara moja ......ukiniacha naachika kweli!
Shemela umechafukwa haswaa..!!!
 
Mwanamke asie na akili ndio yukoje?
Anakuwa hana akili baada ya kuzaa au kabla???
Usikute rafiki zake na yeye wao ndo hawana akili. Unajuwa hata walioko Milembe kule Dom, huwaona wxlioko nje ndo hawana akili
 
Kwa hiyo umekuja kutoa siri za marafiki zako hapa sio??.Mtoto wa kiume jifunze kuwa na kifua,Mimi kukushirikisha mambo yangu isiwe fursa kwako kunianika mitandaoni,sio fair mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…