Nawaonea huruma rafiki zangu, usiombe kuzaa na mwanamke asie na akili

Nawaonea huruma rafiki zangu, usiombe kuzaa na mwanamke asie na akili

Pole sana mkuu hakuna jambo zuri na lenye tija kama kuchagua mwanamke sahihi wakuzaa nae. Ukikosea hapo unaenda tesa kizazi chako, kuharibu kizazi chako na kupoteza damu yako kwa kukosa malezi bora yatakayo msaidia mtoto kwenye ukuaji wake.

Unaweza lipa Ada ya shule, pesa za matumizi kila mwezi na wasaa wakumuona mtoto pamoja nakupeleka vizawadi kwa mtoto lakini unakuta bado unaambulia matusi.
Mm ndivyo nnavyofanywa mkuu, hasa hawa wadada wapwani nibalaa japo sijamuoa Ila nakili kujuta kuzaa nahuyu dada Ila kwavile Ila kwavile kama wanamziki wasemavyo nyama buchani haiwezi kurudi Kua ng'ombe ,kuzaa tushazaa namtoto tunalea hivyohivyo Huku nikopokea vichambo matusi yahapa napale Ila kusema ukweli kuzaa namdada asiye na Akili mtihani mkubwa Sana ,tena nisuala lakumuomba Mungu Tu.
 
Whu do you women sound and so passive..hamko proactive kabisa..kila kitu mnaona mnatendewa nyinyi..tuu..utasikia umenizalisha...mara umeniacha..mara umenitomba au umenichezea ukaniacha..you people mnatakiwa muwe responsible..tumieni hizo akilini zenu zaidi ya kupanua mapaja tuu..sio amekuzalisha mmezaa..sio amekutomba..mmetombana..sio amekuacha mmeachana..ukombozi wenu uanzie huku kwenye lugha..maneno yanaumba.mentality kama hii ni chachu kweny kupata haki sawa mnayoitaka..



Kweli kabisa!

Utasikia Eti “ nimemzalia”

Kwani huwa ni wa bana na mama au Baba peke yake?!
 
Alipata mimba imefika mda wa kuzaa kasema mtoto kafa
[emoji117]Nkamwambia nakuja hapo hospital nione huyo aliekuja Nafika hospital sound nyingi
[emoji117] Mtoto alizaliwa akauzwa kwa ndugu yake dem alikua hana mtoto
[emoji117] Nlijitahid kufatilia nkagonga kwamba nkawaachia.
Maisha yanaenda ila najuata kuzaa na yule kilaza
Screenshot_20160926-125148_1.jpg
 
Hivi unajua kuwa haupo financially stable nguvu ya kutomber mpaka umjaze mtu mimba mnatoaga wapi?
Nguvu ya kufanya hivyo haitegemei financial stability ili iwepo, huwa ipo tu.
 
Mwingine huyu Kuna mwanaume kishapoteza damu yake
Yaani wanaume siku hizi wanaona sijui fashion kutelekeza watoto..

Mimi nilimwambia kabisa akomeeee kupiga simu eti anamuulizia mtoto wakati kwenye matumizi anaona ahusikiii..

Na kifuatacho, mwanangu akikua nitamwambia babake alifarikiii..

Mnaboaaa san
 
Ana miaka saba sasa,kwanza aliniambia nitoe nisipotoa nitajijua kulea...nimekomaa mwenyewe saivi simu za namtaka mtoto wangu zimeanza.Litakufa jitu
Ni kweli wake ila tu atumie ustaarabu
 
Wewe unayejikaza kuja kuongea upupu huku hivi unajua kuzaa wewe sema .
Unajua hapo wewe akili yako inakutosha hapo ulipo hujitambui .

Umewahi telekezwa na wazazi, ndugu na mwanaume aliyekupa mimba wewe halafu mtoto ananjaa wewe nawe unanjaa hakuna mtu anayekusemesha uko nakamfuko navinguo vya mtoto na nguo zako unalia huna hata vocha ya kumtaarifu mtu ???
Wewe unatafuta laana fulani ya kizazi chako na channe.
Hujijui bado ..
Muombe Mungu leo akusamehe kabisa na umind your own business .
Kumbe jamii forum kuna watu badoo akili hawana hivi mnajiona sisi ni tunamatumbo yakujazwa jazwa tu eh! Ukitaka umjue mwanamke uzae naye ???

Nasisi wanawake tuwe naakili eti sio kila mtu unafungua mbususu wengine wanaume ni vichaa kweli naapa
Sio kwa povu hili...kwani shida ni nn?
 
Hao marafiki zako nao wana hiyo akili? usikute nao ni madebe tupu
 
Alipata mimba imefika mda wa kuzaa kasema mtoto kafa
[emoji117]Nkamwambia nakuja hapo hospital nione huyo aliekuja Nafika hospital sound nyingi
[emoji117] Mtoto alizaliwa akauzwa kwa ndugu yake dem alikua hana mtoto
[emoji117] Nlijitahid kufatilia nkagonga kwamba nkawaachia.
Maisha yanaenda ila najuata kuzaa na yule kilazaView attachment 2234587
Mtoto aliuzwa kwa ndugu yake??? Au hakuwa na mimbaa??? Muda wote unamuhudumia bila hata kuonana nae live kujua kama ana mimba kweli???
 
Tatizo lenu vijana mnaangalia wanawake wenye mikundu mikubwa ndio mnawapelekea moto mwisho wa siku mnakuja jukwaani hapa na kuanza kulalama mara oh,, demu mwenyewe hana akili pambaneni na hali zenu
 
Kwani we ukizaa na mwanamke bila kumuoa nini kitatokea....... Pole sana kwa kuwaweka mabinti za watu mimba na kushindwa kuwahudumia..... Njoo ujaribu kwangu uone kama utasimamisha maisha yako yote
Dah kweli jamaa yupo sahihi wanawake hamna akili
 
Tatizo lenu vijana mnaangalia wanawake wenye mikundu mikubwa ndio mnawapelekea moto mwisho wa siku mnakuja jukwaani hapa na kuanza kulalama mara oh,, demu mwenyewe hana akili pambaneni na hali zenu
[emoji16][emoji16] si ndio mnawapenda hao
 
Back
Top Bottom