maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
- Thread starter
- #41
shida sio Mimi ni wao kunishirikisha na hii inakuja baada ya kushuhudia mizozano yao mara nyingiumesema ni rafiki zako wanamajanga hayo tena wanne
wewe tegemezi katafte hela uache kudandia visentisenti vya malezi ya watoto wao na kuwapumbaza hao wanne ili wakae kibachela km wewe.
saa ingine unajiuliza mbona mwanaume huyu atuekewani ila akielekezwa,na marafiki zake anaelekea kumbe ndo nyie mnanyemelea visenti ili asahau wajibu wake.
kazalishe na wewe uwe bize uache kunanga mahusiano ya wenzio.
Nikitaka mtoto nitazalisha tu dada angu