Nawaonea huruma rafiki zangu, usiombe kuzaa na mwanamke asie na akili

Mwanaume anayemzalisha mdada kisha kumtelekeza mtoto na Mama yake hii haikubaliki,usimpomlea mwanao unategemea nani akulelee?
Mwanaume lazima ukubali majukumu yako na kupambana ili kuyatimiza majukumu hayo na huo ndio Uanaume.
Huwa upo positive sana mkuu😊nakufuatiliaga kimya kimya kwenye comments zako hongera 👊🏿
 
Habari za jumapili wana jukwaa, bila shaka najua mnaendea vizuri na matatizo yenu.

Kuna hili jambo haliongelewi sana ila linatesa sana vijana
Iko hivi nna rafiki zangu Kama wanne wamezaa tu na wanawake hawajafanikiwa kuishi pamoja, asee hili jambo usiombe likukute ishia tu kuliona kwa wenzio maana kwa haya nayoona wanayopitia ni hatari kwakweli

Kuna mmoja juzi mzazi mwenzie kamtukana sana afu hana ata sababu ya msingi

Kwani wanawake mkizalishwa bila kuolewa nini huwa kinawatokea kwene bongo zenu maana haya ninayoyashuhudia

Yaani ukitaka kujua tabia halisi ya mtu wako akuzalie, yaani ukishamzalisha ndo utamjua vizuri kila kitu hadi uvumilivu wake unapoishia

Poleni sana mliozaa na wanawake wasio na akili mna nafasi kubwa Sana ya kupoteza watoto wenu

Ni vile tu hamuongei ila mnapitia mengi sana, nimejaribu kuvaa viatu vya marafki zangu nimeshindwa kabisa.

Niwatakie weekend njema
Mbna Kama n mm huyo aliyetukanwa mleta Uzi nalushukuru San kwa hili la kubeba hili swal mnk mm pia Ni muhanga mtot nishampoteza na amejazwa ujinga kichwani
 
Nyie wanaume wa siku hizi ni vere simple mtu anazalisha afu anatelekeza mtoto alelewe na bibi ake
Mnaona vere simple nyie kulewa au kuishi vizuri ilihali wanenu wanastruggle

Hivi unajua kuwa haupo financially stable nguvu ya kutomber mpaka umjaze mtu mimba mnatoaga wapi?

Matokeo yake mwanamama anashindwa ….. saikolojia yake inaelemewa anakosa maneno ya kukupa anaona matusi ndio yanakufaa

Mi sijawai ona mkaka anaehudumia vizur mwanae akatukanwa au kukashifiwa na mzazi mwenziee labda for minor thing

By the way …… tuishi humo
Mm sijateleleza aise nilihudumia kila kitu lkn siku moja nikaona acha nimtafutie huyu bint boardy school ili aweze kusoma hapo ndio kasheshe limeanza nilionekana nataka kumchukuwa mtto Mara nataka nikaoe ili mtot alelewe na mam wa kambo aise mpk sas HV yule mtot nilinyangwanywa rasm

Nilijinyima. Mm had kuacha kujenga namsomesha mtoto 1.5 milion mpk daras la nne leo nataka nimtafutie boarding imekuwa nongwa wakamnyaza ujing eti naenda kuoa mke hvyo hawataki mjukuu wao akalelewwe na mam wa kambo
 
Habari za jumapili wana jukwaa, bila shaka najua mnaendea vizuri na matatizo yenu.

Kuna hili jambo haliongelewi sana ila linatesa sana vijana
Iko hivi nna rafiki zangu Kama wanne wamezaa tu na wanawake hawajafanikiwa kuishi pamoja, asee hili jambo usiombe likukute ishia tu kuliona kwa wenzio maana kwa haya nayoona wanayopitia ni hatari kwakweli

Kuna mmoja juzi mzazi mwenzie kamtukana sana afu hana ata sababu ya msingi

Kwani wanawake mkizalishwa bila kuolewa nini huwa kinawatokea kwene bongo zenu maana haya ninayoyashuhudia

Yaani ukitaka kujua tabia halisi ya mtu wako akuzalie, yaani ukishamzalisha ndo utamjua vizuri kila kitu hadi uvumilivu wake unapoishia

Poleni sana mliozaa na wanawake wasio na akili mna nafasi kubwa Sana ya kupoteza watoto wenu

Ni vile tu hamuongei ila mnapitia mengi sana, nimejaribu kuvaa viatu vya marafki zangu nimeshindwa kabisa.

Niwatakie weekend njema
Uyo alotukanwa juzi ,katukanwa kisa nini??
 
Ni kweli lazima tuonekane hatuna akili,umenizalisha kunioa umekataa bado unataka mawasiliano nami ya nini sasa.Mi ukishasema hunihitaji futa kumbukumbu zote zinihusuzo.Damn! Tunaishi Mara moja ......ukiniacha naachika kweli!
😀😀 Mwandiko wa gaidi huu!
 
Habari za jumapili wana jukwaa, bila shaka najua mnaendea vizuri na matatizo yenu.

Kuna hili jambo haliongelewi sana ila linatesa sana vijana. Iko hivi nna rafiki zangu Kama wanne wamezaa tu na wanawake hawajafanikiwa kuishi pamoja, asee hili jambo usiombe likukute ishia tu kuliona kwa wenzio maana kwa haya nayoona wanayopitia ni hatari kwakweli

Kuna mmoja juzi mzazi mwenzie kamtukana sana afu hana ata sababu ya msingi

Kwani wanawake mkizalishwa bila kuolewa nini huwa kinawatokea kwene bongo zenu maana haya ninayoyashuhudia

Yaani ukitaka kujua tabia halisi ya mtu wako akuzalie, yaani ukishamzalisha ndo utamjua vizuri kila kitu hadi uvumilivu wake unapoishia

Poleni sana mliozaa na wanawake wasio na akili mna nafasi kubwa Sana ya kupoteza watoto wenu

Ni vile tu hamuongei ila mnapitia mengi sana, nimejaribu kuvaa viatu vya marafki zangu nimeshindwa kabisa.

Niwatakie weekend njema
Huyo aliyetukanwa ni wewe usisingizie rafiki zako
 
Ila jf
1-Akili zako zinakutuma kila mtu ana matatizo kama yako?
2-Kulialia kwa mwanamke mara zote ni kutokuwa na akili tu au hatunzwi ipasavyo?
3-Hayo maneno umeyatoa wapi wakati umeeleza kuwa huwa hawaongei?
4-Acha kuwatungia watu uongo kwamba wana matatizo kumbe ni weye tu umeshiba uji wa ulezi ukaanza kufikiria visivyokuwepo.
 
Hujaona walozaa na wanawake wanaojiweza kidogo
Waambie rafiki zako watoe pesa za kuwahudumia watoto na mama zao waone kama watatukanwa tena.Ukiwa na pesa mwanamke anaanzaje kukutudi? Huo ujasiri wa kuitukana Benki/ATM anautoa wapi
 
Nyie wanaume wa siku hizi ni vere simple mtu anazalisha afu anatelekeza mtoto alelewe na bibi ake
Mnaona vere simple nyie kulewa au kuishi vizuri ilihali wanenu wanastruggle

Hivi unajua kuwa haupo financially stable nguvu ya kutomber mpaka umjaze mtu mimba mnatoaga wapi?

Matokeo yake mwanamama anashindwa ….. saikolojia yake inaelemewa anakosa maneno ya kukupa anaona matusi ndio yanakufaa

Mi sijawai ona mkaka anaehudumia vizur mwanae akatukanwa au kukashifiwa na mzazi mwenziee labda for minor thing

By the way …… tuishi humo
Kosa ni lenu unaniona mwanaume sielweki mzushi sina hela na ungaunga tu kukuhonga kazi halafu unajibebesha mimba utadhani hufaamu mzunguko wako lazima baharia akimbie
 
Back
Top Bottom