Nawaonea huruma wadada wasio na "mizigo" mikubwa

Lakini wengine mmezidi makalio hayo jamani, mtu unamsubiri mlangoni apite haishi, anakuja tu kama treni, duh!
Wacha mkuu, kuna traffic mmoja huku kitaani amefunga mzigo balaa, akikata kona itabidi msubiri kwanza mana kiwiliwili kinapita mzigo bado upo nyuma unaweka jam ya kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…