Nawaonea huruma wadada wasio na "mizigo" mikubwa

Nawaonea huruma wadada wasio na "mizigo" mikubwa

Haya ndio maumbo yanayoitajika..
diaba_sora__-20190219-0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida yenu kutunyoNg'onyeza vimbau mbau mshindwe..sie tunatafta pesa baba tu sasa
Jamani kila ndege na mti aupendao hakuna type ya mwanamke isiyo na soko. Mwanamke sahihi wa kumuoa ni simple girl hao wanene binafsi siwapendi maana hata kutoka out ni shidaaaa. Anatembea kidogo tu hoi na hata kwenye mambo yetu Yale yasiyo na chama wanawake wembamba wanajua na utaenda round nyingi kuliko wanene

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom