Nawaonea huruma wanawake wote ulimwenguni wanavyoteseka kutafuta wanaume

Nawaonea huruma wanawake wote ulimwenguni wanavyoteseka kutafuta wanaume

Kumbe unamkumbuka huyu kijana eeh, cjui katendwa na bnt gan humu jf...!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Ndo Hutaki Kunijibu Kabisaa We Mrembo Juakuwa Nimekumisi Sana
 
Hakika karne hii wanaume tumekuwa deal tena deal kubwa zaidi yatafutwavo madini hivyo nawaasa men wenzangu msihangaike kutafuta wanawake siku hizi wanatutafuta wenyewe tena kwa torch
I
 
Back
Top Bottom