Nani kakuambia! Hao wanaitwa part Time..Ivi mtu kuwa single inamaanisha hafanyi ngono au?
IHakika karne hii wanaume tumekuwa deal tena deal kubwa zaidi yatafutwavo madini hivyo nawaasa men wenzangu msihangaike kutafuta wanawake siku hizi wanatutafuta wenyewe tena kwa torch