Nawaonea wivu walionunua hisa za DSE

Ngoja nijarubu kui master hiyo skill kwanza. Na wewe upo kwenye hiyo mambo mkuu?
Hyo skill sasa inabidi u dig into the books i gave u....hasa finance and capital markets na Investment Analysis & Portfolio Management utapata ur facts straight.

Kuna vitu kama futures, options hutumika sanaa....like una nunua rights ya makubaliano ya bei ya kununua financial instrument flan leo sometime in the future.....kwamba hata bei ikipanda au kushuka huumii cz mlishakubaliana bei sometime in the back.

Aaargh bob mambo yakujua ni mengi. We chimbua kwenye vitabu hvyo. Hapa bongo soko bado sanaaa.
 
Kwenye bold hapo ni kweli kabisa, hata nje ya nchi inafanyika. Kuna makampuni makubwa na mabenki ambayo ni market markers yanakuwa yana manipulate price. Ila kuna wajanja nadhani wanaweza kusoma soko to the extent wanaweza ku avoid hizo manipulation and still wanatengeneza pesa
 
Nimenza tayari kusoma kimoja wapo nimepapata knowledge tayari
 
No problem but I'm very suspicious na forex trading especially by individuals ambao are not knowledgeable enough with limited capital, is a high risk and high reward business be carefully unaweza kuja kulaumiwa baadaye

Kupitia exeperience yangu na forex trading. Kwenye biashara unahitaji kuwekeza zaidi kwenye analysis & forecasting, uwe na credible broker, uwe na mtaji ambao kwa minimum uwe arround 2000$ ili uwe kwenye safe zone endapo market itaenda against you kwa kipindi kifupi.
Wakati wa Brexit watu wangepiga hela mara 10 ya hii ya DSE.
 
Muhimu sana ni hayo masomo mawili cz hata Corporate Finance na a certain degree of Financial Risk Management zinaingia humo.

Hivi vitabu nikianza kuvisoma vitanisaidia kwenye kupata CFA & CMT?
 

You dnt have to spill all the beans up in here. Lol

I get ur point.
 
Its not an overnight journey. Its a life time one.
Warren Buffet, Charles Icahn or George Soros are still learning. Provided wao ni Gurus in this business.
It seems so, na mwanzo unaonekana utakuwa mgumu but ni muhimu kujaribu
 

Nahitaji hard copies ya hivyo vitabu. Hapa Tanzania ntavipata wapi hasa?
 
It seems so, na mwanzo unaonekana utakuwa mgumu but ni muhimu kujaribu

Yeah. You need to be determined. Within 6 moons you'll find yourself being able to predict the market.
Endelea kukusanya mtaji mkuu, arround 1000$ kwa kuanzia. Hutakosa 100-200$ kwa siku kama hela ya mboga.
 
Hivi vitabu nikianza kuvisoma vitanisaidia kwenye kupata CFA & CMT?
Yes..though unaweza kuwa recommended vingine pia na board as for me nimefanya BSc na MSc pekee.....so nimetoa kwa handbook ya units nilizokua nikisomea.

U definitely can cz sidhani kama kwenye hyo list nliyotoa kuna madini yeyote yale yameachwa humo in terms of the finance and investment world. Edition mpya zita include updated case studies & examples.
 

Hivii labda nahitaji ufafanuzi zaidi kwenye hili la ku manipulate stock price au kupandisha bei makusudi au kuishusha.

Nachojua DSE kama soko pia alikuwa regulator au msimamizi wa kampuni zote zitazojisajili sokoni hii nj pamoja na kuangalia kampuni isifanye ujanja ujanja kwa manufaa yake.

Sasa kwa DSE kuingia sokoni yenyewe inasimamiwa na nani? Nani ni regulator wa DSE? Je ni CMSA? Kama ni CMSA hawalioni hili la bei kupanda twice ghafla na wakawachukulia hatua? Hapa meters wa umma ni yupi? Au ndo DONS WILL REMAIN BE DONS NO MATTER WHAT. .......
 
Nahitaji hard copies ya hivyo vitabu. Hapa Tanzania ntavipata wapi hasa?
Daaah the copies hapa bongo bado sijajua honestly ila definitely town cz vyangu nilirudi navyo kutoka ng'ambo....na hadi leo sijawahi kuvimaliza.
 
Daaah the copies hapa bongo bado sijajua honestly ila definitely town cz vyangu nilirudi navyo kutoka ng'ambo....na hadi leo sijawahi kuvimaliza.
Siwezi kusoma softcopies. Napenda hardcopies.
Anyway, ntatafuta.
 
Sure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…