Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,689
Hyo skill sasa inabidi u dig into the books i gave u....hasa finance and capital markets na Investment Analysis & Portfolio Management utapata ur facts straight.Ngoja nijarubu kui master hiyo skill kwanza. Na wewe upo kwenye hiyo mambo mkuu?
Kuna vitu kama futures, options hutumika sanaa....like una nunua rights ya makubaliano ya bei ya kununua financial instrument flan leo sometime in the future.....kwamba hata bei ikipanda au kushuka huumii cz mlishakubaliana bei sometime in the back.
Aaargh bob mambo yakujua ni mengi. We chimbua kwenye vitabu hvyo. Hapa bongo soko bado sanaaa.