Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Kuna mchezo hupo kupitia jeshi la polisi hapa Tanzania na ukikutwa na makosa hua ndio mpinzani unaweza kupoteza uhai au kutengenezewa kesi kulingana na pesa utakayokutwa nao.
Hii tabia imejivisha sana hiki kikosi wanaojiita takforce .Kuna siku nilikuwa safari naelekea mkoa X na gari wakanisimamisha usiku sababu gari yenyewe ilikuwa imechoka na eneo linaonekana kuwa na magendo sana.
Wakataka kukagua nika waruhusu walipo angalia begi wakakona vitita vya pesa hapo ndio mtiti ulipoanzia.
hawataki kuniachia mara wananilazimisha niingine kwenye gari yao twende kanza.
Ni kasema acheni upuuzi kwani kunammuhalifu hapa na mikwala mingi ndio wakajishtukia ningekubari leo ningekuwa wafu wa mapori.