Nawapa tahadhari mnaopenda kutembea na pesa au kadi za benki

Nawapa tahadhari mnaopenda kutembea na pesa au kadi za benki

Tuma kwenye ile inayoishia na 40.
mshaaanza kuombana pesa kwenye uzi wangu tena
GSMEiFYWkAAsHYo.jpg
 
Huwajui taskforce wala hujawahi kutana nao wewe, yaani wewe utoke kibaha unaenda morogoro ukutane na taskforce bila sababu.

Jambo la pili, kwanini utembee na kitita, yaani sio polisi tu, hata jamaa yako atakumaliza. Unauza madini, unasafiri mikoa mingi, kwann utembee na hela nyingi.
Jambo la tatu, kila mtu anatembea na kadi au hela inayomtosha kwenye safari.

Wajinga wachache muache kupotosha watu acha kabisa ndugu. Muache kutengeneza story kuaminisha watu.
Mbaya sana hii.
Vitita vitita wewe ni mwizi. Nani anatembea na vitita kwenye gari. Gadamn. Acha porojo.
 
za kwako alafu sio kila jambo unamuona mtu kama mpumbavu nishakuona sana kwenye mada nyingi. wengine tunatembea na bunduki jichanganye na ID yako siku nikupeleke ujue jina langu kuwa ni shetani
 
Polisi wakishaona hela basi wanaweza fanya lolote
Yale yale ya wafanyabiashara wa madini mahenge na mengineyo
Hawa jamaa wana tamaa sana

Ova
 
Kama sio mtu wa magumashi na dili za papo kwa papo kwanini utembee na hela nyingi wakati unaweza kuweka tu bank, ukawa na internet banking, simbanking, siku hizi ATM unatoa hata 2mil, mpesa unaweza kusajili lakini la biashara ukawa unaweza kuwa hadi na 20mil.

Ukiwa mtu wa mitikasi lazima uwe na machale machale na bunduki kiunoni saa zote.
 
UPO kwenu au hupo wapi?
Hivi hii tanzania unaifahamu vizuri au unahisikia kwenye redio ccm.ujawai kufanya biashara hata kumuuza dada yako pale ubungo.
TRA,PLUS MAKATO YASIKIE
 
Kuna mchezo hupo kupitia jeshi la polisi hapa Tanzania na ukikutwa na makosa hua ndio mpinzani unaweza kupoteza uhai au kutengenezewa kesi kulingana na pesa utakayokutwa nao.

Hii tabia imejivisha sana hiki kikosi wanaojiita takforce .Kuna siku nilikuwa safari naelekea mkoa X na gari wakanisimamisha usiku sababu gari yenyewe ilikuwa imechoka na eneo linaonekana kuwa na magendo sana.

Wakataka kukagua nika waruhusu walipo angalia begi wakakona vitita vya pesa hapo ndio mtiti ulipoanzia.
hawataki kuniachia mara wananilazimisha niingine kwenye gari yao twende kanza.

Ni kasema acheni upuuzi kwani kunammuhalifu hapa na mikwala mingi ndio wakajishtukia ningekubari leo ningekuwa wafu wa mapori.
Ungemuita mdogo ako shetani
 
Unawafahamu ma operesheni meneja wanaonunua Pamba. Mzee mtu anatembe na mpaka millioni mia mbili na kuna kipindi tulikuwa tunasimamia Malipo ya Pamba na choroko Kwa njia ya simu ama benki weee hayo makato yake Mzee ni noma. Wakulima wenyewe wanapenda kulipwa taslimu. Noma sana
Mfano mwingine ni machimboni….unakuta chimbo liko zaidi ya 200km kutoka benki ya karibu na wadau hua hawataki ufanye online transactions wanataka cash
 
za kwako alafu sio kila jambo unamuona mtu kama mpumbavu nishakuona sana kwenye mada nyingi. wengine tunatembea na bunduki jichanganye na ID yako siku nikupeleke ujue jina langu kuwa ni shetani
Yaani unapewa maaoni. Unajiona mpumbavu wewe mwenyewe.
Alafu unatishia bastola. Njoo PM nikupe whereabouts zangu uje na matako yako nilipo. Mpumbavu ww. Mpumbavu sana. Kwangu wewe ni mbwa. Mbwa mmoja. Unakuja unatishia tishia mtandaoni hapa. Njoo unione
 
Kaka ake Shetani na unatembelea gari imechoka!!!
Be serious meeeen!

Your Broo is fvc big rich but blind she (remember she 😂)
don't know your Value!

Anyway una bahati hao tasiki force Policcm wangekupeleka kwa Broo ako
Shabhashhhhh!

😁😁
Wale tu kunguru weupe wangeweza kumaliza kazi sema tu jina lenyewe kaka yake shetani linaweza kuwa ndio uliokuwa msaada pekee🤣
 
Back
Top Bottom