Nawapa tahadhari mnaopenda kutembea na pesa au kadi za benki

Yaani unapewa maaoni. Unajiona mpumbavu wewe mwenyewe.
Alafu unatishia bastola. Njoo PM nikupe whereabouts zangu uje na matako yako nilipo. Mpumbavu ww. Mpumbavu sana. Kwangu wewe ni mbwa. Mbwa mmoja. Unakuja unatishia tishia mtandaoni hapa. Njoo unione
Kumbe hilo jina limeeefichamo mengiiii
 
Kuna mchezo hupo kupitia jeshi la polisi hapa Tanzania na ukikutwa na makosa hua ndio mpinzani unaweza kupoteza uhai au kutengenezewa kesi kulingana na pesa utakayokutwa nao.

Hii tabia imejivisha sana hiki kikosi wanaojiita takforce .Kuna siku nilikuwa safari naelekea mkoa X na gari wakanisimamisha usiku sababu gari yenyewe ilikuwa imechoka na eneo linaonekana kuwa na magendo sana.

Wakataka kukagua nika waruhusu walipo angalia begi wakakona vitita vya pesa hapo ndio mtiti ulipoanzia.
hawataki kuniachia mara wananilazimisha niingine kwenye gari yao twende kanza.

Ni kasema acheni upuuzi kwani kunammuhalifu hapa na mikwala mingi ndio wakajishtukia ningekubari leo ningekuwa wafu wa mapori.
 
Ni kasema acheni upuuzi kwani kunammuhalifu hapa na mikwala mingi ndio wakajishtukia ningekubari leo ningekuwa wafu wa mapo
Kuna mchezo hupo kupitia jeshi la polisi hapa Tanzania na ukikutwa na makosa hua ndio mpinzani unaweza kupoteza uhai au kutengenezewa kesi kulingana na pesa utakayokutwa nao.

Hii tabia imejivisha sana hiki kikosi wanaojiita takforce .Kuna siku nilikuwa safari naelekea mkoa X na gari wakanisimamisha usiku sababu gari yenyewe ilikuwa imechoka na eneo linaonekana kuwa na magendo sana.

Wakataka kukagua nika waruhusu walipo angalia begi wakakona vitita vya pesa hapo ndio mtiti ulipoanzia.
hawataki kuniachia mara wananilazimisha niingine kwenye gari yao twende kanza.

Ni kasema acheni upuuzi kwani kunammuhalifu hapa na mikwala mingi ndio wakajishtukia ningekubari leo ningekuwa wafu wa mapori.
Sasa wewe kaka wa shetani au mdogo wako alikusaidia?
 
Back
Top Bottom