Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,007
- 15,216
naenda kulipa watu kaka tunaogopa makato na yakutoleaNawewe vitita unapeleka wapi?Au walijua ulitoka kula kwa urefu wa kamba🤸♂️🤸♂️.Kwani hata hivyo unamwogopa yule mnyama wa madoa doa kwani😂
Lete nikutunzie.Mkuu tuweke hela wapi?
Mkoa kwa mkoa na pesa mabank yote haya yalivyojaa, na hata kama ulikuwa unaelekea mawilayani huko lets say hakuna bank husika, kupunguza risk si ungechukulia bank iliyo krb na huko unakoenda fanyia matumizi? au zilikuwa zile za kigogo wa TRA?kukagua nika waruhusu walipo angalia begi wakakona vitita vya pesa hapo ndio mtiti ulipoanzia.
.......ana kitita cha pesa kilichowashtua task forceKaka ake Shetani na unatembelea gari imechoka!!!
Unawafahamu ma operesheni meneja wanaonunua Pamba. Mzee mtu anatembe na mpaka millioni mia mbili na kuna kipindi tulikuwa tunasimamia Malipo ya Pamba na choroko Kwa njia ya simu ama benki weee hayo makato yake Mzee ni noma. Wakulima wenyewe wanapenda kulipwa taslimu. Noma sanaMkoa kwa mkoa na pesa mabank yote haya yalivyojaa, na hata kama ulikuwa unaelekea mawilayani huko lets say hakuna bank husika, kupunguza risk si ungechukulia bank iliyo krb na huko unakoenda fanyia matumizi? au zilikuwa zile za kigogo wa TRA?
We Ndo Police anaosema mtoa mada, bas tu saivi umevaaa kiraiaLete nikutunzie.
Nakuelewa sana ndg. Ni kweli kwenye ununuzi wa mazao taslimu inatumika sana, ila si salama, ni vile watu wanalazimika kutumia njia hiyo kwa sababu makato ya benki yanatisha sana.Unawafahamu ma operesheni meneja wanaonunua Pamba... Mzee mtu anatembe na mpaka millioni mia mbili na .... Kuna kipindi tulikuwa tunasimamia Malipo ya Pamba na choroko Kwa njia ya simu ama benki weee hayo makato yake Mzee ni noma .... Wakulima wenyewe wanapenda kulipwa taslimu.... Noma sana
Aaah jamani, mie nakutunzia vizuri kabisa yaani.We Ndo Police anaosema mtoa mada, bas tu saivi umevaaa kiraia
Lete zako nikutunzie na mm nikupe zangu unitunzie😁 akili kumkichwaAaah jamani, mie nakutunzia vizuri kabisa yaani.
Mi sina.Lete zako nikutunzie na mm nikupe zangu unitunzie😁 akili kumkichwa
Wenye hela wanazuga kama hawana tusio na hela tunazuga kama tunazo sanaMi sina.
Wacha maneno mingi totoo, lete pesa hizo nikutunzie.Wenye hela wanazuga kama hawana tusio na hela tunazuga kama tunazo sana
Tia digits hapo mambo ikue switah switah!Wacha maneno mingi totoo, lete pesa hizo nikutunzie.