Nawapa tahadhari mnaopenda kutembea na pesa au kadi za benki

Huwajui taskforce wala hujawahi kutana nao wewe, yaani wewe utoke kibaha unaenda morogoro ukutane na taskforce bila sababu.

Jambo la pili, kwanini utembee na kitita, yaani sio polisi tu, hata jamaa yako atakumaliza. Unauza madini, unasafiri mikoa mingi, kwann utembee na hela nyingi.
Jambo la tatu, kila mtu anatembea na kadi au hela inayomtosha kwenye safari.

Wajinga wachache muache kupotosha watu acha kabisa ndugu. Muache kutengeneza story kuaminisha watu.
Mbaya sana hii.
Vitita vitita wewe ni mwizi. Nani anatembea na vitita kwenye gari. Gadamn. Acha porojo.
 
za kwako alafu sio kila jambo unamuona mtu kama mpumbavu nishakuona sana kwenye mada nyingi. wengine tunatembea na bunduki jichanganye na ID yako siku nikupeleke ujue jina langu kuwa ni shetani
 
Polisi wakishaona hela basi wanaweza fanya lolote
Yale yale ya wafanyabiashara wa madini mahenge na mengineyo
Hawa jamaa wana tamaa sana

Ova
 
Kama sio mtu wa magumashi na dili za papo kwa papo kwanini utembee na hela nyingi wakati unaweza kuweka tu bank, ukawa na internet banking, simbanking, siku hizi ATM unatoa hata 2mil, mpesa unaweza kusajili lakini la biashara ukawa unaweza kuwa hadi na 20mil.

Ukiwa mtu wa mitikasi lazima uwe na machale machale na bunduki kiunoni saa zote.
 
UPO kwenu au hupo wapi?
Hivi hii tanzania unaifahamu vizuri au unahisikia kwenye redio ccm.ujawai kufanya biashara hata kumuuza dada yako pale ubungo.
TRA,PLUS MAKATO YASIKIE
 
Ungemuita mdogo ako shetani
 
Mfano mwingine ni machimboni….unakuta chimbo liko zaidi ya 200km kutoka benki ya karibu na wadau hua hawataki ufanye online transactions wanataka cash
 
za kwako alafu sio kila jambo unamuona mtu kama mpumbavu nishakuona sana kwenye mada nyingi. wengine tunatembea na bunduki jichanganye na ID yako siku nikupeleke ujue jina langu kuwa ni shetani
Yaani unapewa maaoni. Unajiona mpumbavu wewe mwenyewe.
Alafu unatishia bastola. Njoo PM nikupe whereabouts zangu uje na matako yako nilipo. Mpumbavu ww. Mpumbavu sana. Kwangu wewe ni mbwa. Mbwa mmoja. Unakuja unatishia tishia mtandaoni hapa. Njoo unione
 
Wale tu kunguru weupe wangeweza kumaliza kazi sema tu jina lenyewe kaka yake shetani linaweza kuwa ndio uliokuwa msaada pekee🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…