julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,081
- 4,224
Kuna namba ya South Africa ilinicheck WhatsApp wakasema nikiwa natazama bidhaa Amazon nitakuwa napata commissions na kwa kuanzia nikatizama palepale nikapata 5000. wakanitumia link Telegram. Sasa kule wakaniambia kila post ya bidhaa sh 1000. Tumeenda jioni nalipwa 10,000.
wakaseema niki invest nitapata faida, nika invest 80,000 nikapata 130,000.
wakaniambia invest 300,000 nitapatq 540,000.
Kuweka hiyo 300,000/= wakaniambia system imegenerate niweke 980,000 nitapata 980,000+540,000. nilivoshindwa ndio na hela imepotea.
Natoa angalizo ukiona hao amazontzs. kuwa makini.
Ndugu yangu ndio kaliwa hivo