Nawapa tahadhari, msitapeliwe

Nawapa tahadhari, msitapeliwe

julaibibi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2020
Posts
3,081
Reaction score
4,224
Kuna namba ya South Africa ilinicheck WhatsApp wakasema nikiwa natazama bidhaa Amazon nitakuwa napata commissions na kwa kuanzia nikatizama palepale nikapata 5000. wakanitumia link Telegram. Sasa kule wakaniambia kila post ya bidhaa sh 1000. Tumeenda jioni nalipwa 10,000.
wakaseema niki invest nitapata faida, nika invest 80,000 nikapata 130,000.
wakaniambia invest 300,000 nitapatq 540,000.

Kuweka hiyo 300,000/= wakaniambia system imegenerate niweke 980,000 nitapata 980,000+540,000. nilivoshindwa ndio na hela imepotea.

Natoa angalizo ukiona hao amazontzs. kuwa makini.

Ndugu yangu ndio kaliwa hivo
 
Bora ulishindwa, ungekopa Kausha damu saivi 😏😏😏
wana hicho ki item hapo kibirika cha umeme. wanakwambia ukinunue. wanaita sniping. unaweka hata mil 1 unanunua
 
Attachments

  • Screenshot_20250225_160903_Chrome.jpg
    Screenshot_20250225_160903_Chrome.jpg
    276.4 KB · Views: 3
Your job is very simple just subscribe Youtube pages after that send me screenshots and you will get paid.
Click on the link below and subscribe to our youtube channel and send me a screenshot

Hivi kuna ndezi wanakula za uso na hawa wajinga
 
Kuna namba ya South Africa ilinicheck WhatsApp wakasema nikiwa natazama bidhaa Amazon nitakuwa napata commissions na kwa kuanzia nikatizama palepale nikapata 5000. wakanitumia link Telegram. Sasa kule wakaniambia kila post ya bidhaa sh 1000. Tumeenda jioni nalipwa 10,000.
wakaseema niki invest nitapata faida, nika invest 80,000 nikapata 130,000.
wakaniambia invest 300,000 nitapatq 540,000.

Kuweka hiyo 300,000/= wakaniambia system imegenerate niweke 980,000 nitapata 980,000+540,000. nilivoshindwa ndio na hela imepotea.

Natoa angalizo ukiona hao amazontzs. kuwa makini.

Ndugu yangu ndio kaliwa hivo
Hakuna cha ndugu yako ni WEWE.
 
Punguani jingine hili hapa. Waambie wapumbavu wenzio wa LBL. Mtapigwa sana na bado wajinga hamuishi.
 
Nipe namba yao wanitumie hiyo 5k ya mwanzo.
link unaitapa mdau kaonesha hapo. sasa uki instal hio investments wanakuambia your teacher will guide you to snoping. kama hapo hela imeganda wanasema invest 780,000 ukomboe
 
Attachments

  • Screenshot_20250225_162406_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20250225_162406_WhatsApp.jpg
    189.5 KB · Views: 2
Back
Top Bottom