Poleni wewe na ndugu yako mmoja.sio mimi ni ndugu yangu mmoja
Hakuna cha ndugu yako ni WEWE.Kuna namba ya South Africa ilinicheck WhatsApp wakasema nikiwa natazama bidhaa Amazon nitakuwa napata commissions na kwa kuanzia nikatizama palepale nikapata 5000. wakanitumia link Telegram. Sasa kule wakaniambia kila post ya bidhaa sh 1000. Tumeenda jioni nalipwa 10,000.
wakaseema niki invest nitapata faida, nika invest 80,000 nikapata 130,000.
wakaniambia invest 300,000 nitapatq 540,000.
Kuweka hiyo 300,000/= wakaniambia system imegenerate niweke 980,000 nitapata 980,000+540,000. nilivoshindwa ndio na hela imepotea.
Natoa angalizo ukiona hao amazontzs. kuwa makini.
Ndugu yangu ndio kaliwa hivo
Punguani jingine hili hapa. Waambie wapumbavu wenzio wa LBL. Mtapigwa sana na bado wajinga hamuishi.Kuna namba ya South Africa ilinicheck WhatsApp wakasema nikiwa natazama bidhaa Amazon nitakuwa napata commissions na kwa kuanzia nikatizama palepale nikapata 5000. wakanitumia link Telegram. Sasa kule wakaniambia kila post ya bidhaa sh 1000. Tumeenda jioni nalipwa 10,000.
wakaseema niki invest nitapata faida, nika invest 80,000 nikapata 130,000.
wakaniambia invest 300,000 nitapatq 540,000.
Kuweka hiyo 300,000/= wakaniambia system imegenerate niweke 980,000 nitapata 980,000+540,000. nilivoshindwa ndio na hela imepotea.
Natoa angalizo ukiona hao amazontzs. kuwa makini.
Ndugu yangu ndio kaliwa hivo
link unaitapa mdau kaonesha hapo. sasa uki instal hio investments wanakuambia your teacher will guide you to snoping. kama hapo hela imeganda wanasema invest 780,000 ukomboeNipe namba yao wanitumie hiyo 5k ya mwanzo.
Acha wapigwe, wajinga hawaishi. LBL member huyo.Toughlendon kuna utapeli mwingine huku.