Nawapa tahadhari, msitapeliwe

Nawapa tahadhari, msitapeliwe

Hawa badala ya kuniliza,me niliwaliza.niliwatumia muamala feki kumbe hawakuhakiki wakanitumia pesa bana,ile wanashtuka me nishawablock long time.
 
Inabidi uwe mjinga sana kupigwa na hawa.
 
Attachments

  • 1000104893.jpg
    1000104893.jpg
    460.5 KB · Views: 1
Hawa badala ya kuniliza,me niliwaliza.niliwatumia muamala feki kumbe hawakuhakiki wakanitumia pesa bana,ile wanashtuka me nishawablock long time.
Uliwapiga kiasi gani?
 
Hao jamaa toka mwaka Jana mpaka sasa nishapita na hela zao nyingi za trial, wakinipa 10,000 la commission ya siku hiyo na kwenye group Lao natoka, wako sana Instagram na WhatsApp, ukipatana nao huko wanakupeleka telegram, ukiwa na tamaa unalizwa.
Nipe link yao tuwalambe
 
Back
Top Bottom