Asipotupa hizo hela na apigwe tuthubutuuu ukimwambia hivyo anapanik hatari, sasa zake sijui anatafuta za nini!!
Rusha kwa atoto atanirushiavalentina njoo kwenye inbox kimya kimya nakupa
nitumie namba atoto bwana,,,looking foward to see you inbox
Rusha kwa atoto atanirushia
Kwanini sasa anakua mzushi[emoji16] [emoji16] [emoji16]Huyu mzushi hebu twende tukalime mama
Nakuomba pm pleaseHa ha ha
Vi!Kwanini sasa anakua mzushi[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Abee
Muda mrefu sikuoni!Abee
Si umetupa jongoo na mti wake banaMuda mrefu sikuoni!
Bhana, acha hizo za hadharani, hayo ni huko pm. Mbona unamwaga mchele kabisa???Si umetupa jongoo na mti wake bana
Ouch[emoji87] mejisahauBhana, acha hizo za hadharani, hayo ni huko pm. Mbona unamwaga mchele kabisa???
Haya basi tusameheane! Siku nyingine malalamiko chumbani.Ouch[emoji87] mejisahau
Haya twende[emoji126] [emoji126]Haya basi tusameheane! Siku nyingine malalamiko chumbani.
Nini mbayaAiseee.....!??