Nawapenda sana atoto, valentina, Evelyn Salt na Miss Chaga

Hapana kabisa mtani mimi hapa nina mmoja tu asali wa moyo wangu ninayempenda sana mtoto wa kizanziberi
bestito nikadhani wewe unaye unayemtafuta sasa kwanini usitafute kama hao wanavyotafuta hahahahaaaa

huyo asali wa moyo wako ndo nani best
 
Kuna watu wanapenda miamala kama hawa?yaani wana udugu wa damu na nduguzao hawa m-pesa na yule mwingine tigo pesa achilia mbali airtel money ni mjomba wao.Kizuri hawafichi mahaba yao kwa nduguzao hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…